Picha Mpya za 2pac Zawa Gumzo, Mashabiki Wadai Anaweza Kuwa Hai
ALIYEKUWA rapa kutokea Marekani, 2pac Amaru Shakur aliyefariki mwaka 1996, amezua gumzo na taharuki katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya picha zake mpya kusambaa.
Watu wengi wamehoji iwezekanaje picha za rapa huyo…