Babu Tale Kuwalipia Tiketi za Ndege Wasanii Waliotajwa Tuzo za Afrimma
MBUNGE wa Morogoro Mashariki na Meneja wa Wasanii wa muziki chini ya lebo ya WCB, Hamisi Taletale ameainisha dhamira yake ya kupambania tiketi za kuwafikisha Marekani wasanii saba wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo mwaka huu kwa…
