Watatu wa Familia Moja Wafariki kwa Kugongwa na Gari Wakipeleka Mtoto Hospitali
WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mdogo, wakazi wa kata ya Terat katika jiji la Arusha,wamepoteza Maisha papo hapo kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakitoka hospitalini wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki.
…
