×

Tag: ajali

GARI LA MAFUNDI UMEME LAPATA AJALI, WATATU WAFARIKI

WATU watatu wanasadikiwa kupoteza maisha na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo lililokuwa limebeba mafundi wa mradi wa...

READ MORE

Gari la Wanafunzi Lagonga Treni, Mmoja Afariki

Gari la abiria lenye namba za usajili T930 DML aina ya Toyota Coaster lililobeba wanafunzi wa sekondari limegonga Treni eneo...

READ MORE

Breaking: Ndege Ya Ethiopian Airlines Yaanguka

Ndege ya Kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka leo ilikuwa imebeba...

READ MORE

BREAKING: WATU 5 WAFARIKI KWA KULIPUKIWA NA PETROLI SAME

Watu watano wamefariki dunia baada ya petroli iliyokuwa ndani ya nyumba waliyokuwemo kulipuka mkoani Kilimanjaro. Licha ya waliopoteza maisha, wengine...

READ MORE

Basi la BM Lapinduka Likikwepa Treni – Pichaz

BASI la Kampuni ya BM Coach limepata ajali ya kupinduka jana Jumatatu, Machi 4, 2019 majira ya alasiri wakati likijaribu...

READ MORE

Rubani wa Makamu wa Rais Afariki kwa Ajali ya Ndege

CAPTAIN Mario Magonga, aliyekuwa rubani wa Makamu wa Rais wa Kenya,  William Ruto,  amefariki katika ajali baada ya ndege aina...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Anusurika Kifo

MKUU wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo na watu wengine watatu wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali...

READ MORE

Wataalam 9 wa Ardhi Waliofariki Ajali Waagwa Morogoro – Video

NAIBU Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula,  amewaongoza mamia ya wananchi katika zoezi la kuaga miili ya wataalam tisa wa wizara...

READ MORE

GARI LATUMBUKIA MTONI, WATUMISHI 9 WAFARIKI!

#BRAKINGNEWS: Watu tisa ambao ni wataalam wa Idara ya Ardhi wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWALILIA 19 WALIOKUFA AJALINI SONGWE

Rais Dk. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea katika Wilaya ya...

READ MORE

AJALI YA LORI NA COASTER YAUA 19 SONGWE

WATU 19 wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali ya lori lililokuwa na mzigo, lenye namba T 388 CAA baada ya gari...

READ MORE

Babu Mlemavu Ateketea kwa Moto Aliowasha Shambani Kwake

MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga,
 Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake....

READ MORE

Breaking News: Mbunge Mwigulu Nchemba Apata Ajali Mbaya

Taarifa zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zimeeleza kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dkt. Dk Mwigulu Lameck Nchemba amepata ajali...

READ MORE

BREAKING NEWS: MBUNGE WA CHADEMA APATA AJALI DUMILA, MORO

Taarifa ya ajali hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene akisema kuwa Mbunge huyo anatarajiwa...

READ MORE

Wananchi Wachoma Kanisa Wakidai Linaleta Pepo Wachafu

WANANCHI wenye hasira kali wanadaiwa kuvamia katika eneo la Kanyogoga Wilaya ya Gulu nchini Uganda na kuchoma Kanisa moja muda...

READ MORE

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MAGOMENI DAR

Ajali ya Moto imetekeza nyumba iliyopo Magomeni Kagera mtaa wa Texas Jijini Dar es salaam Mchana wa leo. Chanzo cha...

READ MORE

Basi la Fikoshi Laua Watu Wanne Kigoma, 42 Wajeruhiwa!

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 42 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya FIKOSHI linalofanya safari zake kati ya...

READ MORE

KANISA LA MPEMBA LATEKETEA KWA MOTO MWANZA

KANISA la TFE KWA NEEMA lililopo Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza (almaarufu kama Kwa Askofu Mpemba) limeteketea kwa moto majira...

READ MORE

Mtoto Wa Miaka 5 Alipua Nyumba Yao, Afariki Dunia

UTAJISIKIAJE pale unapomwacha nyumbani mtoto wako akiwa mzima halafu ghafla unapigiwa simu na majirani na kuambiwa amefariki? Bila shaka itakuwa...

READ MORE

BREKING NEWS: Al-Shabaab Washambulia Westlands Nairobi – Video

MAGAIDI sita wa Kundi la Al-Shabaab wamethibitisha kushambulia kwa mabomu na risasi eneo la 14 Riverside, Westlands karibu na Hoteli...

READ MORE

WATANO WAGONGWA NA LORI WAKITOKA HARUSINI, WAFARIKI – VIDEO

AJALI mbaya ya lori la mchanga lenya namba za usajili T155 ATC kugongana na gari la abiria aina ya Toyota...

READ MORE

HIVI Ndivyo, Mauaji, Utekaji, Ajali ,Vifo, Vilivyo Umiza 2018 – VIDEO

Yamebaki masaa machache tu tuweze kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2019. Global TV tumekuandalia matukio kumi makubwa...

READ MORE

Lindi: Mvua, Upepo Mkali Vyabomoa Nyumba 157

NYUMBA 157 yakiwamo majengo ya serikali zimebomolewa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha juzi Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi....

READ MORE

BREAKING: MOTO WATEKETEZA GHALA LA TUME YA UCHAGUZI

Moto mkubwa uliowaka usiku wa kuamkia leo umeteketeza ghala la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (CENI) jijini Kinshasa na kuaharibu...

READ MORE

Vilio Vyatawala MAZISHI YA JACK SIMELA, Shuhuda Asimulia Ilivyoteokea – Video

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala katika viunga vya mji wa Morogoro wakati wa mazishi ya aliyekuwa Msanii wa muziki wa...

READ MORE

TANGA: Basi Laua Waawili na Kujeruhi 21

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa huku sita kati yao wakiwa na hali mbaya baada ya basi la...

READ MORE

TEMEKE: WANAFUNZI WAWILI WAFARIKI KWA KUANGUKIWA NA UKUTA

WANAFUNZI wawili wa Shule za Msingi Kijichi na Shule ya Msingi Bwawani zilizopo Mtoni Kijichi wilayani Temeke jijini Dar es...

READ MORE

Basi la Rungwe Lapata Ajali Morogoro na Kuua Watatu

Watu watatu wamefariki na 16 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Rungwe Express na gari jingine maeneo ya Iyovi mkoani...

READ MORE

16 Wafariki Magari Mawili ya Abiria Yakigongana, Kuwaka Moto Tarime

  WATU 16 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia ajali mbaya iliyotokea jana katika eneo la Komaswa maarufu...

READ MORE

Alichokisema Kigwangalla Baada ya Atembelea Eneo Alilopata Ajali

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Dkt. Hamisi Kigwangalla jana Novemba 23, 2018 ametembealea kituo cha Afya Magugu, pamoja na...

READ MORE

AJALI: Naibu Waziri Nditie Anusurika Kifo – Video

Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye jana Jumapili Novemba 11, alinusurika kifo baada kupata ajali eneo la...

READ MORE

Breaking News: Mabehewa ya treni Yaanguka Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba...

READ MORE

Watu Sita Wafariki kwa Ajali ya Gari, Segera

Watu sita akiwemo mtoto mchanga wa jinsia ya kike wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kijiji cha...

READ MORE

Dodoma: Magari ya Serikali Yagongana, 7 Wafariki, 3 Wajeruhiwa – Pichaz

WATU saba ambao majina yao hayajafahamika mara moja wamefariki dunia na watatu kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili ya serikali...

READ MORE

BREAKING NEWS: AJALI YA TRENI DAR YAJERUHI WATU 9

TRENI ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa...

READ MORE

Waziri Kangi Lugola Anusurika Ajali Morogoro

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, leo Jumatano, Oktoba 31, 2018  amenusurika kupata ajali wilayani Gairo, Mkoani Morogoro dereva wa...

READ MORE

IMETHIBITISHWA: Mmiliki Leicester City Amefariki kwa Ajali ya Helikopta

BILIONEA mmiliki wa Klabu ya Soka ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha (61), raia wa Thailand amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki...

READ MORE

Breaking News: Ajali Mbaya Yaua Chalinze Usiku Huu

Watu wanne akiwemo dereva wa Coaster wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kugongana...

READ MORE

CHOO CHA SHULE CHAPOROMOKA, MTOTO MMOJA AJERUHIWA – PICHA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU Leo 26/10/2018 majira...

READ MORE

Polisi Wamsaka Dereva wa Dangote Aliyesababisha Ajali na Kuua Watano

Kamanda wa Polisi Mkoani Lindi, Prudeciana Protas amethibitisha kukimbia kwa dereva wa lori, mali ya Kampuni ya Dangote ambalo limesababisha...

READ MORE