Ajali ya basi yaua zaidi ya watu 32 nchini Misri
Basi moja la abiria limegonga gari lililokuwa limeegeshwa barabarani wakati kukiwa na ukungu mwingi mapema Jumamosi kwenye barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa Misri, Cairo na ule uliyopo karibu na bahari ya Mediterranean wa…
