Baba mzazi wa aliyekufa na nyoka aanika mapya! Atofautiana na wananchi
Stori: Stephano Mango, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 31, 2016
RUVUMA: Baba mzazi wa marehemu Denis (26), Sevelin Komba ambaye alifariki baada ya nyoka aliyekuwa amembeba kwenye koti lake kuuawa, ameibuka na kuanika mapya…
