×

Tag: Amissi Tambwe

Straika Simba Aukubali Mziki wa Fiston Mayele Ligi Kuu Bara Msimu Huu

STRAIKA wa zamani wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe, amemtaja Mkongomani, Fiston Mayele ndiye mshambuliaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Yanga Yamlipa Tambwe, Bumbuli Afunguka

MSHAMBULIAJIwa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amesema uongozi wa klabu hiyo umemlipa fedha alizokuwa anawadai lakini amesisitiza hana uhakika...

READ MORE

Tambwe Afafanua Deni Lake Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga bado hawajamlipa fedha zake anazodai Sh milioni 42 licha...

READ MORE

Yanga Yashusha Presha Mashabiki, Yafungukia Ishu Ya Kufungiwa Kusajili

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda...

READ MORE

Tambwe: Ninaruditena Yanga

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga...

READ MORE

Tambwe Afunguka Kulogwa na Ngoma

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ndiye mchezaji anayetajwa kuwa bingwa wa kufunga mabao ya vichwa katika Ligi Kuu Bara....

READ MORE

Tambwe Ana Hela Acheni, Anamiliki Toyota Land Cruiser V8 TD

HAKUNA ubishi mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Tambwe ndiye mchezaji anayeongoza kwa wachezaji wa Ligi Kuu Bara wanaosukuma mkoko wa kifahari....

READ MORE

Yanga yaipiga Alliance bao 1-0, Amissi Tambwe Noma!

STRAIKA Amissi Tambwe wa Yanga ambaye rekodi yake ya mabao 21 ya msimu wa 2015/16 haijafutwa kwenye Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Tambwe ampa Kagere mbinu awe mfungaji bora Caf

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe ametoa darasa la kutosha kwa mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere kama anataka kuwa...

READ MORE

Tambwe anaipeleka Yanga kimataifa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe, amedhamiria kuibeba timu yake hiyo msimu huu baada ya kusema atahakikisha msimu ujao inashiriki michuano...

READ MORE

Tambwe: Makambo Ni Zaidi Ya Ngoma

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kutokuwa na wasiwasi na uwezo...

READ MORE

Daktari Afichua Siri Ya Majeraha Ya Ngoma, Tambwe

MASTAA wa Yanga, Donald Ngoma na Amissi Tambwe, bado ni majeruhi na hawatarajii kurejea uwanjani hivi karibuni, sasa daktari mmoja...

READ MORE

Tambwe Aifungia Kazi Simba, Ajiongezea Programu

KATIKA kuhakikisha anakuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Simba, mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe, anajifua kikamilifu...

READ MORE

Tambwe: Sikujua Tatizo Langu ni Zito

BAADA ya kufanyiwa upasuaji mdogo wiki iliyopita na kulazimika kupumzika, Amissi Tambwe anasubiri kuondolewa nyuzi tu kwenye goti. Tambwe alifanyiwa...

READ MORE

Tambwe Afanyiwa Upasuaji Dar

MSHAMBULIAJI wa Yanga Amissi Tambwe raia wa Burundi atalazimika kukaa nje wiki mbili kutokana na upasuaji mdogo aliofanyiwa mwanzoni mwa...

READ MORE

Yanga Yaonywa Kuhusu Tambwe

WAKATI Yanga ikicheza na Azam FC leo Jumamosi, daktari wa zamani wa Taifa Stars, Sheck Mngazija ameionya Yanga kuhusu kumtumia...

READ MORE

Nkomola Aanza Rasmi Mazoezi Yanga

    MSHAMBULIAJI  mpya wa Yanga, Yohana Nkomola, ameungana rasmi na wachezaji wa Yanga kwenye mazoezi yao baada ya kutoka...

READ MORE

Tambwe Aondoka na Mtu Yanga

KUREJEA kwa mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe kumekifumua kikosi cha Mzambia, George Lwandamina ambaye atalazimika kumuondoa mchezaji mmoja katika...

READ MORE

TAMBWE AJIFUA KUWAKABILI PRISONS

STRAIKA wa Yanga Mrundi Amissi Tambwe, ameanza rasmi kujifua na kikosi chake cha Yanga tayari kwa mchezo wao wa Ligi...

READ MORE

Tambwe Siyo Nguzo Yanga, Juhudi za Pamoja Zinahitajika

UNAPOTHUBUTU kuzungumzia wachezaji wazuri katika safu ya ushambuliaji kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara, huwezi kuliacha hata kwa bahati mbaya...

READ MORE

Tambwe Atimka Yanga Usiku Mnene

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe, juzi usiku aliondoka nchini kwa siri na kwenda nchini Kenya bila ya uongozi...

READ MORE

Omog Aweka Ngumu Ndugu wa Tambwe Kutua Simba

SIMBA imeamua kufuta mpango wa kumleta nchini Kocha Mrundi, Niyongabo Amars raia wa Burundi sawa na Amissi Tambwe wa Yanga,...

READ MORE

Tambwe: Tukimpata Himid, Kazi Wanayo!

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amesikia taarifa za kiungo mkabaji wa Azam FC, Himid Mao kutua katika timu hiyo...

READ MORE

Tambwe: Kwa mziki huu Yanga…

SIKU chache baada ya Yanga kumtambulisha Ibrahimu Ajibu aliyetokea Simba, straika wa timu hiyo, Amissi Tambwe amesema kwa usajili walioufanya...

READ MORE

Tambwe atua Dar kimyakimya kumalizana na Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amewasili nchini Ijumaa iliyopita kumalizana na viongozi wake hao kwa ajili ya...

READ MORE

Tambwe Awachimba Mkwara Mavugo, Bocco

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita, Amissi Tambwe (pichani) amewachimba mkwara washambuliaji wa Simba, Laudit Mvugo na John Bocco wa Azam...

READ MORE

Pluijm: Amissi Tambwe yuko fiti, watatukoma

Wilbert Molandi, Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshusha presha ya mechi dhidi ya Medeama...

READ MORE