Benchikha Aondoka Simba, Baada ya Kipigo cha Prisons – Video
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ameondoka leo Jumatano, Februari 7, 2024 kwenda nchini kwao Algeria kushiriki kozi kozi ya ukocha ya siku tano hivyo hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu hiyo katika mechi mbili za Ligi.…
