MKALI wa Muziki wa Singeli anayetamba na ngoma yake mpya ya Motoni Kumedamshi, Abdallah Ahmed ‘Dulla Makabila’ amesema moja kati...
READ MOREMREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini. Akichonga...
READ MOREMSANII wa filamu Bongo,Wellu Sengo ambaye ni mzazi mwenzake na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameeleza kuwa licha ya kuachana...
READ MOREAMA kweli penzi likiisha ni kama shubiri! Mwanamuziki mahiri wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ amesema kuwa, mwanaume ambaye alimpenda...
READ MOREULISHAWAHI kusikia mtu anaambiwa ni ‘sitaki nataka’. Basi ni kama muigizaji Chuchu Hans ambaye ni mzazi mwenzake na muigizaji...
READ MOREHUYU ndiye mfalme mpya Afrika! Hizo ndizo kauli za watu wengi walioitazama shoo ya mtoto wa Tandale, Nasibu Abdul ‘Diamond...
READ MOREKampuni ya Infinix imezindua rasmi simu kali, toleo jipya aina ya Infinix S5. Uzinduzi huo umefanyika mapema leo katika Duka...
READ MOREMWANAMAMA kunako Bongo Fleva, Mwanahawa Abdul Jumaa almaarufu Queen Darleen ambaye ni dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...
READ MOREVERA ni mrembo maarufu runingani, mitandaoni (sosholaiti), video vixen (muuza sura kwenye video za muziki) na mjasiriamali wa Kenya anayetajwa...
READ MOREMKONGWE kunako Bongo Fleva na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Jay’ amesema hakuna sababu ya wasanii kuonana wabaya, badala yake...
READ MOREMkali wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ ame-sema yeye anapiga kotekote kwani hana timu na hachagui wapi akafanye shoo na...
READ MORESEXY lady wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ amesema, anaweza kupiga miguu yote kwa maana ya kuimba na kuigiza...
READ MOREKIKI imemtokea puani! Komediani na mwigizaji maarufu wa kike wa filamu za Kibongo asiyeishiwa vituko, Annastazia Exavery almaarufu kama Ebitoke,...
READ MOREMREMBO kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anapenda kuigiza na mwigizaji Ahmed Salim ‘Gabo Zigamba’ kwa sababu ni msanii...
READ MOREGIGY Money siyo wa mchezomchezo, wakati Insta yote ikiamini kwamba yeye na Amber Lulu ni mashoga, juzi amemgeuka rafi...
READ MOREMWANAMAMA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Rose Ndauka amesema yeye siyo mtu wa kuendekeza starehe kwenye maisha yake, hivyo kitu...
READ MOREMAMBO yamezidi kuwa moto! Lile bifu kati ya mastaa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Rajab Abdul ‘Harmonize’...
READ MOREKWA wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, sakata la vurugu zilizoambatana na mirindimo ya risasi kwenye pub (baa) ya staa...
READ MOREKAMA ulikuwa unasikiasikia tu bila kuwa na uhakika, habari ikufikie ni rasmi sasa, meneja wa wasanii, Ahmed Ngahemela ‘Petit Man’...
READ MOREMWANAMUZIKI wa kike wa Hipo Hop Bongo, Rosa Ree na ambaye inasemekana na mpenzi wa msanii wa Kenya, Timmy Tdat...
READ MOREINADAIWA mitandaoni kwamba, kati ya wanawake wanaojua kupaniki, basi mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anaweza kuwa kwenye kumi...
READ MOREHUWEZI kuizung-umzia historia ya muziki wa Bongo Fleva bila kutambua mchango wa Said Fela. Ni mdau wa muziki huu tangu...
READ MOREKILA mtu na aina yakeya maisha, lakini huko Instagram wapo watu wanakupangia hadi mwili wako uweje. Hiyo imemtokea staa wa...
READ MOREMdhamini mkuu wa Timu yaTaifa (Taifa Stars) Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium...
READ MOREMCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua...
READ MOREMAMBO bado ni moto! Ile vita kati ya mafahari wawili wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ na Nasibu Abdul...
READ MORESTAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kusema hakuna kitu kinachomkera kama watu kumuuliza kuhusu ndoa kwamba...
READ MOREMWANAMITINDO wa kimataifa Bongo mwenye makazi yake jijini Paris, Ufaransa, Miriam Odemba amejitoa kimasomaso katika kuhamasisha upatikanaji wa maji safi...
READ MOREILI uwe balozi wa bidhaa fulani, msanii unatakiwa uwe na mashabiki wengi, uwe na heshima japo kila anayetaka kukupa dili...
READ MOREMOJA kati mahojiano bora ambayo Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amewahi kuyafanya basi ni yale aliyoyafanya wiki iliyopita, ambapo alifu-nguka mambo mengi...
READ MOREKUFANYA kitu ambacho hujategemea siyo jambo la kitoto! Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amemzidi ujanja...
READ MOREUTAWAAMBIA nini watu! Mwigizaji kunako kiwanda cha filamu Bongo, Yusuph Mlela amenaswa na mrembo mpya na baada ya kubanwa ameomba...
READ MOREHALI inaonekana si shwari kimtindo ndani ya ukumbi huu wa Kam Jee maeneo ya Mbezi-Beach jijini Dar ambapo kuna kikao...
READ MOREAMEONESHA uungwana! Hiyo ndiyo kauli ambayo imezungumzwa zaidi wikiendi iliyopita mara baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Oktoba 30, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Kinondoni Manyanya, Jangwani na...
READ MOREWanahabari wa nchini Kenya, wakasirika baada ya Mwanamuziki kutoka Tanzania, Harmonize kuwapa dakika 3 za mahojiano Mwanamuziki huyo aliyeachia kibao...
READ MOREMeneja Mauzo wa Vodacom Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam Angetile Martin, (kushoto) na Afisa Mauzo wa Kampuni hiyo...
READ MOREACHANA na madili manono ya ubalozi anayoendelea kutengeneza, sexy lady kunako Muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amehamia kwenye...
READ MOREADA ya mtoto wa shule ya msingi shilingi milioni 30 kwa mwaka? Ndiyo, hiyo ndiyo inayomtesa staa wa sinema za...
READ MORE