×

Tag: Celebrities

MISS TZ: SICHAGUI, NITAFANYA CHOCHOTE CHA KIJAMII

BAADA ya kurudi kwenye mashindano ya Miss World ambako hakufanya vizuri, Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth amesema kuwa, yuko tayari...

READ MORE

POSH QUEEN HATAKI KUAJIRIWA

SITAKI! Mlimb-wende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada...

READ MORE

WOLPER: SIWEZI KURUDIA ‘MATAPISHI’ YA MKONGO

MKALI wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hawezi kurudisha mapenzi kwa mpenzi wake wa zamani ambaye ni Raia...

READ MORE

DARASSA AIBUKA, AFUNGUKIA DAWA ZA KULEVYA

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu huku tetesi zikisema ametopea kwenye matumizi ya dawa za kulevya, staa wa Hip...

READ MORE

NIKKI WA PILI AELEZA ALIVYOKUTANA NA MCHUMBA’KE

MKALI wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ ameeleza alivyokutana na mchumba’ke anayetarajia kumuoa...

READ MORE

SIRI YA VIPOCHI VYA WASANII WA WCB NI HII

WASANII wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali wakiwa na vipochi kiunoni huku mashabiki wao wakihoji,...

READ MORE

TANASHA WA DIAMOND ALIAMSHA DUDE!

MAMBO ni moto! Baada ya hivi karibuni mrembo kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kuahidiwa ndoa na...

READ MORE

MASTAA WAPENDANAO WALIOMWAGANA 2018

TUKIWA tumesalia na siku 19 mkononi tuumalize mwaka huu 2018, yapo mengi yametokea kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo.   Kuna...

READ MORE

MAMA AIBUKA NA MAPYA YA WEMA

DAR ES SALAAM: Baada ya mwanaye kukaa kimya kwa muda mrefu, mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, Miriam Sepetu ameibuka...

READ MORE

TUNDA: SIONI TATIZO KUMPOST CASTO !

BAADA ya penzi lao kuvunjika na kila mtu kushika hamsini zake, kwa mara ya kwanza mrembo anayenogesha video za wasanii...

READ MORE

KUAZIMWA NGUO NA LINAH, NAI ATOA POVU

BAADA ya kunangwa kwamba ameazima nguo kwa mwanamuziki, Esterlina Sanga ‘Linah’, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki...

READ MORE

VANESSA AJIBU ISHU YA KUMWAGANA NA JUX

MWANADADA anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwa mara ya kwanza ameibuka na kufunguka kuhusu...

READ MORE

KONKI MASTER ALAINIKA KWA GIGY MONEY

AMA kweli hakuna mkate mgumu mbele ya kikombe cha chai ya rangi! Ndivyo ilivyo kwa mahaba kwani ukipatikana ni lazima...

READ MORE

SHILOLE ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ KUDORORA kwa fani za filamu na muziki nchini kumezidi kuwaongezea akili baadhi ya wasanii kwa kujiongeza na...

READ MORE

IDRIS SULTAN APATA DILI NONO SAUZ

MSHINDI wa Big Brother Afrika 2014 na mchekeshaji, Idris Sultan amealikwa kuhudhuria tamasha kubwa la  Komedi lililoandaliwa na Comedy Central,...

READ MORE

KIBA, MCHUMBA WA MONDI WAIBUA GUMZO

 DAR ES SALAAM: Habari ‘hot’ kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni kuhusu msanii wa muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz...

READ MORE

MASTAA WANAORUDISHA WALICHOKIPATA KWA JAMII

WASWAHILI wanasema, “kutoa ni moyo si utajiri”. Hiyo humaanisha kwamba si kila anayetoa msaada kwa jamii ana fedha nyingi sana...

READ MORE

FAHYMA, RAYVANNY WAFUNGA NDOA YA SIRI

MAMA mtoto wa mkali wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jayden’...

READ MORE

BELLA, FIRST CLASS KUKINUKISHA KRISMAS HII

KAMA ulikuwa ukijiuliza sikukuu hii ya Krismas huende wapi jibu simpo tu. Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live unatarajia...

READ MORE

GIGY AIBARIKI NDOA YA MZAZI MWENZAKE

BAADA ya kumwagana na kila mtu kushika hamsini zake, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibariki ndoa...

READ MORE

BAADA YA KUSHINDA TUZO… CALISAH ATOA YA MOYONI

BAADA ya kufanikiwa kuiwakilisha vyema Tanzania na kuwa mshindi wa Mr Africa International 2018, huko nchini Nigeria mwanamitindo, Calisah Abdulhamiid...

READ MORE

SHEHE MKUU AMFUNGUKIA IRENE UWOYA

DAR ES SALAAM: Sheikh Mkuu wa Mkoa, Alhad Mussa amemfungukia Msanii wa Filamu za Kibongo, Irene Uwoya baada ya kutangaza...

READ MORE

MCHUMBA WA MOND ACHAFUKA UKWENI

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza tarehe ya kumuoa mrembo shombeshombe wa Mombasa nchini Kenya,...

READ MORE

LICHA YA MKWARA WA BASATA… GIGY SIKIO LA KUFA – VIDEO

LICHA ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kukemea wasanii kila kukicha kuacha kukaa nusu utupu, staa wa muziki wa...

READ MORE

KITAMBI CHA THEA CHAZUA GUMZO

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ hivi karibuni alizua gumzo kutokana na kuonekana kunenepeana na kuwa na kitambi...

READ MORE

SISTER FAY AFUNGUKA ANAVYOHENYESHWA NA TCRA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Faidha Omary ‘Sister Fay’ ameeleza anavyohenyeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kisa kujiachia mitandaoni.    ...

READ MORE

MAUA SAMA : NAKUJA NA NAFUNGA JUMLA JUMLA

BAADA ya wakali wa Hip Hop, Roma Mkatoliki na Stamina wanaounda Kundi la Rostam kuja na msemo wa Kufunga Jumla...

READ MORE

ESTER KIAMA ATAMANI CHEO CHA JOKATE

STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kudai kuwa anatamani siku moja naye ateuliwe kuwa mkuu wa wilaya...

READ MORE

R0STAM, MAUA SAMA WAWATEGA MASHABIKI

WAKALI wawili wanaounda Kundi la Rostam (Roma & Stamina) pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Maua Sama wamewatega mashabiki baada...

READ MORE

AMBER LULU: NATAMANI SANA MTOTO ILA RAMANI HAZISOMEKI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ amesema amekuwa akitamani na yeye aitwe mama kama ilivyo kwa...

READ MORE

HILI NDO CHIMBUKO LA BONGO FLEVA!

MUZIKI wa kizazi kipya Bongo au maarufu kama Bongo Fleva, ndiyo unaoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini...

READ MORE

WASAFI FESTIVAL KUKIWASHA UPYA IRINGA

BAADA ya uzinduzi wa kutisha wa Wasafi Festival kufanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, mratibu wa wasanii wa...

READ MORE

UWOYA ACHARUKA ISHU YA KUBADILI DINI

TOFAUTI na wengi wanavyoamini kwamba muigizaji Irene Uwoya ni Muislamu na aliuacha Ukristo baada ya kuolewa na bwa’ mdogo Dogo...

READ MORE

WALIOINGIA MATATANI KWA PICHA ZA UTUPU

HIVI karibuni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imecharuka. Imekuwa ikiwachukulia hatua baadhi ya mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakienda kinyume na...

READ MORE

SABABU ZA MASTAA KUANIKA MAUNGO YAO

SIKU za hivi karibuni mastaa wengi wa kike wamekuwa wakionekana kupenda kuacha wazi sehemu kubwa ya miili yao. Jambo hili...

READ MORE

MASTAA KONKI KWA PICHA CHAFU

MWILI ni kitu muhimu sana kinachotakiwa kuthaminiwa na kila binadamu. Huwezi kuwa mtu kamili kama huna mwili, hata vitabu vya...

READ MORE

HAWA APANGISHIWA HOTELI

MSANII aliyepata jina kupitia Wimbo wa Nitarejea, Hawa Said baada ya kutua Bongo akitokea nchini India alipokwenda kwa matibabu, amepangishiwa...

READ MORE

QUEEN DARLEEN AFUNGUKIA NGUO ZA MITEGO

  MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni dada wa mwa­namuziki mkubwa wa Afro-Pop, Na­sibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mwana­hawa Ab­dul ‘Queen...

READ MORE

MASTAA WALIOSHAINI WAKILELEWA NA MAMA TU

MASTAA wengi duniani wamekuwa wakishaini na kuvuta mkwanja mrefu, ukiuliza undani wa malezi yao utaambiwa kuwa wametoka migongoni mwa mama...

READ MORE

MAMA: UMAARUFU WA MOBETO NILIUONA MAPEMA

 MAMA wa mwanamitindo mwenye jina kubwa Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ‘Mama Mobeto’, ameibuka na kusema kuwa aliuona umaarufu wa...

READ MORE