×

Tag: Celebrities

Marioo Aibua Vita Mpya Mondi, Harmo

BWA’MDOGO anayefanya poa kwa sasa kwenye anga la Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’, ametajwa kuwaingiza kwenye vita mpya, mastaa wa...

READ MORE

Lyyn: Sina tatizo na Tanasha

MREMBO anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Irene Godfrey ‘Lyyn’ amefunguka kuwa yupo tayari kufanya ngoma na mzazi mwenzake...

READ MORE

Vanessa Ale Bata, Asisahau Muziki!

PENZI jipya lina raha yake wewe! Unaweza ukasahau hata kula au kuwaona na kuwasalimia wazazi wako kwa sababu tu unafurahia...

READ MORE

Darleen: Hee! Ndoa yangu imevunjika!?

“NILIJUA tu hawezi kudumu kwenye ndoa!” Ni maneno yaliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii wikiendi iliyopita ikidaiwa kuwa, ndoa ya msanii...

READ MORE

Gigy Money na Tetesi za Kumpa Penzi Patrick Kanumba

BAADA ya kusambaa kwa tetesi mitandaoni kwamba msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaminya kimalovee na mwigizaji wa...

READ MORE

MENEJA WA HARMO AKOSHWA NA DIVA!

  Baada ya Mtangazaji wa Radio Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ kusema kwamba msanii Rajabu Abdul ‘Harmonize au Harmo’ na...

READ MORE

MONDI AONYWA REKODI YA KUCHEZEA WANAWKE

WAKATI lile penzi shatashata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna Oketch, likidaiwa...

READ MORE

Will smith afichua wivu wake kwa Tupac !

  MWIGIZAJI mkubwa duniani kutoka pande za kwa Trump, Will Smith amefunguka kwamba alikuwa na wivu mno pale alipomuona mkewe...

READ MORE

AUNT aapa kufa na urafiki wa Wema

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameapa kufa na urafiki na Wema Isaac Sepetu kwani anaamini kwake ni rafiki wa...

READ MORE

Tessy: Mondi amenibadilisha

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ afanye shoo ya miaka 10 ya muziki...

READ MORE

Fahyma ajibu mimba ya ‘mchepuko’ wa Rayvanny

MKE wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma’ amejibu tetesi kuhusu mimba ya mwanadada anayedaiwa kuchepuka...

READ MORE

Sanchi: Picha za Utupu Ziliniumiza Sana

HIVI karibuni wimbi la picha za utupu za warembo mbalimbali kusambazwa mitandaoni limezidi ambapo zinawaletea athari kubwa katika maisha yao...

READ MORE

Bocco Atuma Salamu kwa Mashabiki Simba

NAHODHA na mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amesema kuwa haikuwa bahati yao kulichukua Kombe la Mapinduzi huku akiwataka mashabiki...

READ MORE

Penzi La Vanessa, Rotimi Noma Sana

PENZI la msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na staa wa Marekani, Rotimi limezidi kuwa noma...

READ MORE

Mimba ya Lynn… Tanasha Yamkuta ya Zari kwa Mondi

MJI mzito huu! Ndiyo maneno wanayotamka watoto wa mjini kutokana na kinachoendelea kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva; Irene...

READ MORE

Shilole: Jokate anajua nilikotoka

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo anajua alikotoka...

READ MORE

Padri aliyewafungisha ndoa Stamina, mkewe awaita kanisani

PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica...

READ MORE

United yaongoza kwa mkwanja England, Barcelona na Madrid ni moto mwingine

Miamba ya soka ya Premier League, Manchester United imeendelea kuwa kileleni kwenye maswala uingizaji wa mapato ngazi ya klabu England....

READ MORE

Idriss: siwezi kuacha kumpenda Wema

MKALI anayetikisa kunako upande wa Vichekesho Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa hana kinyongo na aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu.  Idris...

READ MORE

Harmo Atikisa Ndinga za Mamilioni

MAFANIKIO ya mtu yanapimwa kwa vigezo mbalimbali ikiwemo mali anazozimiliki na jinsi anavyoishi.  Wasanii wengi Bongo wamekuwa na majina makubwa,...

READ MORE

BILLNASS: Sipendi mwanamke apake make up!

KAMA kawa, kama dawa! Kolamu yako pendwa ya My Style inazidi kupepea.  Leo tupo na msanii wa Hip Hop Bongo,...

READ MORE

Staa Bongo Muvi Mbaroni kwa Ubakaji

MSALA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia, msanii wa Bongo Muvi; Hussein Mbega ‘Niva’ kuswekwa ndani kwa msala wa ubakaji na wizi...

READ MORE

Official Nai: Sijaachana na bwana’ngu!

BAADA ya kutupia video ya bwana’ake yenye viashiria kuwa wameachana, Video Vixen matata Bongo, Officiall Nai ameibuka na kusema hawajaachana. ...

READ MORE

Billnass: Sijarudiana na Nandy!

BAADA ya msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ hivi karibuni kudaiwa kurudiana na mpenzi wake wa zamani ‘Billnass’ jamaa...

READ MORE

Huddah Akana Kumpa Penzi Harmonize

DAR: Siyo taipu yangu! Sosholaiti ambaye ni modo maarufu nchini Kenya ameibuka na kukana kumpa penzi staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Esma Atoboa Siri Nyingine Ya Mondi

MWANAMAMA Esma Khan ambaye ni dada wa staa wa Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, ametoboa siri nyingine...

READ MORE

Pretty Sasa Ageukia Kuhubiri Injili

MSANII wa Bongo Fleva na filamu ambaye kwa sasa ameokoka; Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amefunguka kuwa, mwaka huu mpya wa...

READ MORE

Whozu Tunda hawezi kunisaliti

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa ameonekana hotelini akiwa na mwanaume mwingine mwenye asili ya Kinigeria, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Whozu...

READ MORE

Jux atoa ya moyoni kuachana na mpenzi wake

STAA wa miondoko ya RnB Bongo; Juma Mussa ‘Jux’, ametoa la moyoni juu ya tetesi za kuachana na mchumba’ke; Nayika...

READ MORE

Paula: Nawakwepa sana wanaume

PAULA ni mtoto wa staa wa filamu Bongo; Kajala Masanja na Prodyuza maarufu hapa nchini Paul Matthyes ‘ P.Funky.  Jina...

READ MORE

Sanchi apigwa stop nguo za kubana

D AKTARI wa mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘ Sanchi’ amempiga stop mrembo huyo kuvaa nguo za kubana...

READ MORE

Barnaba Anakijiji cha Watoto wa Kike

UKIZUNGUMZIA wanamuziki wazuri Bongo hii wanaojua kuimba, kutunga, kutumia vyombo na kuzalisha (produce) ngoma kali za Bongo Fleva, huwezi kuacha...

READ MORE

Zari Atoswa Utajiri wa Mumewe

AMETOSWA! Licha ya kupigania kwa udi na uvumba mali za aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Diva azidi kumuandama Mondi

    MWANADADA aliyejizolea umaarufu kutokana na kazi ya utangazaji; Loveness Malinzi marufu kama Diva amezidi kumuandama Diamond ‘Mondi’ na...

READ MORE

MTOTO WA KAJALA GUMZO UBALOZI TAULO ZA KIKE

MTOTO wa staa wa Bongo Muvi, Kajala Masanja, Paula Paul, ameibua gumzo kama lote baada ya nyota yake kuonekana kuanza...

READ MORE

Gigy Money: 2020 kazi tu

MWANADADA machachari wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amesema mwaka huu amejipanga kuongeza juhudi katika...

READ MORE

Wimbo wa kiba wamponza Mondi

  MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kile kinachoendelea kwenye ulimwengu wa vinara wawili wa Bongo Fleva ambapo...

READ MORE

Kishindo Ndoa ya Vanessa, Bilionea Marekani!…

DAR: Usiombe kuhadhitiwa utakapopata bahati ya kuhudhuria ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’ (31), ambaye...

READ MORE

Gigy: Nitamtoa nywele Beyonce wa Mlela

MJINI kuna mambo! Sikia hii ya msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye amesema atamnyonyoa nywele msichana aliyejipachika...

READ MORE

Wema Idris Hapatoshi!

MAMBO ni moto! Unaambiwa huko Ista, Idris kalianzisha kwa kumsema maneno Madam Wema Sepetu sasa alichokipata ni zaidi ya matusi....

READ MORE