×

Tag: CHADEMA

Chadema: Lissu Amezinduka na Anaendelea Vizuri

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali tukio la Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho,...

READ MORE

Tundu Lissu Apelekwa Nairobi Kutibiwa

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma usiku huu kwenda Nairobi kwa ajili ya...

READ MORE

Chadema: Bunge Limevunja Katiba Kuomba Fedha Nje ya Bajeti

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Vincent Mashinji, amesema Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limevunja...

READ MORE

MASHA: NAKUBALIANA NA KATIBA ILIYOPO

  KADA mkubwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Lawrence Masha amesema hana shida kabisa na Katiba ya...

READ MORE

Breaking News: Bavicha Wahoji Kwa nini Chadema Pekee wanakamatwa?

Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), wamehoji sababu ya polisi kuwakamata wafuasi na viongozi wa CHADEMA pekee!   Akizungumza na waandishi...

READ MORE

Mbunge wa Tunduma Akamatwa na Polisi

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi akiwa katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Mbozi Mjini Vwawa. Mwakajoka...

READ MORE

Mbunge Ester Bulaya Aruhusiwa Kutoka Muhimbili

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Amos Bulaya (CHADEMA) ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akitibiwa tangu wiki...

READ MORE

VIDEO: Chadema Watangaza Maandamano, Wataka Lissu Aachiwe, Ngeleja Akamatwe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya Baraza la Vijana (Bavicha), kinatarajia kufanya maandamano ya amani nchi nzima, Agosti...

READ MORE

Lissu Ahojiwa Kuhusu Uchochezi wa Bombardier ya Serikali

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alikamatwa na polisi mapema leo wakati anatoka Mahakamani,...

READ MORE

Sumaye Aanika Mazito Serikali Kumnyang’anya Mashamba Yake

Waziri  Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amevunja ukimya na kusema  kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama...

READ MORE

Ester Bulaya Hoi, Apewa Dhamana, Ahamishiwa Hospitali ya Bugando

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya wadhamini watatu na shilingi milioni 20,...

READ MORE

Chadema Yalalamikia Mahakimu Kuwanyima Dhamana Wanachama Wake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamika dhidi ya baadhi ya mahakimu wanaokataa kupewa dhamana viongozi na wanachama wake wanaokabiliwa...

READ MORE

Sakata la Acacia, Bangi Vyawaweka Matatani Wabunge Wawili wa Mara

  Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche anashikiliwa na Jeshi la Polisi Tarime, huku Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko...

READ MORE

Halima Azidi Kuisakama Serikali Hoja za Kuporomoka kwa Uchumi

Waziri Kivuli wa Mipango, Fedha na Uchumi, Halima Mdee ameitaka Serikali kujibu hoja kuhusu kuporomoka kwa uchumi katika utawala wa...

READ MORE

Chadema: Majibu ya Serikali Kuhusu Hali Hasi ya Uchumi ni Dhaifu

MBUNGE wa jimbo la Kawe kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee,   amesema Watanzania wanapaswa kupima ukweli kuhusu...

READ MORE

Mbowe Aitaka Serikali Iweke Hadharani Ripoti Zote Mbili za Madini

Serikali imetakiwa kuweka hadharani ripoti zote mbili za madini zilizoandaliwa na kamati zilizoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza uendeshaji wa...

READ MORE

Mbowe Aipinga Serikali Kuwanyang’anya Viwanda Wawekezaji

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali haiwezi kujenga viwanda peke yake bila kuihusisha sekta binafsi ambayo ndiyo mdau mkuu...

READ MORE

Chadema Yalia na Serikali Kuhusu Mfumuko wa Bei Nchini

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Serikali imeshindwa kusimamia mfumuko wa bei ya chakula nchini kwa sababu haitambui umuhimu wa...

READ MORE

Chadema Yasema Haikutuma Mtu Kuzuia Mwandishi wa TBC

Kuhusu Mwandishi wa TBC kuzongwa /kuzuiliwa kutimiza wajibu wake. Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa...

READ MORE

HAI: ‘Magumashi’ Yagundulika kwa Madiwani Waliohama Chadema

  Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa Chama cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Hai, limechukua sura mpya...

READ MORE

KILIMANJARO: Madiwani Watatu Chadema Wahamia CCM

PIGO jingine limekikumba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya madiwani wake watatu kujivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga...

READ MORE

Tundu Lissu Apelekwa kwa Mkemia Mkuu Kupimwa Mkojo

  Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa Kituo cha...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa Airport Akijiandaa Kwenda Rwanda

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),  Tundu  Lissu amekamatwa leo, Alhamisi, Julai 20 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

ZITTO KABWE AWAGEUKIA CHADEMA

  KIONGOZI Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Mjini, katika kile kilichoonekana kuwapa...

READ MORE

VIDEO: Lissu Agomea Mahakamani Akihofia Kukamatwa

  Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili nchini (TLS), Tundu Lissu mapema leo amegoma kutoka...

READ MORE

Viongozi Chadema Wasota kwa RPC Ruvuma

  Viongozi tisa wa Chadema akiwamo Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Dk Vincent Mashinji wameripoti kwa Kamanda wa Polisi Mkoa...

READ MORE

Chadema Yatangaza Vita na CUF ya Lipumba

  Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), Tundu Lissu amesema Ukawa wanatangaza...

READ MORE

Ruvuma: Viongozi wa Chadema Waliokamatwa, Waachiwa Huru

  NYASA, RUVUMA: Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, wabunge wawili wa chama hicho na viongozi wengine sita wa chama...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Chadema na Viongozi Wenzake Wakamatwa na Polisi

  Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na wa Viti Maalumu, Zubeda  Sakuru wamekamatwa na...

READ MORE

Sumaye: Hatutanyamaza Hata Kidogo

  Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Halmashauri  Kuu Chadema, Frederick Sumaye amesema kuwa licha ya kukatazwa wasizungumze...

READ MORE

VIDEO: Magdalena Sakaya Awashukia Chadema

  Kaimu  Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) anayemuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba ameeleza  kusikitishwa na matamko mbalimbali yanayotolewa...

READ MORE

Swahiba wa Lowassa Ataitiwa Harusini kwa Prof. Jay

  MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ambaye ni swahiba mkubwa wa waziri...

READ MORE

Chadema Yaibuka na Operesheni ‘Ondoa Msaliti’

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza operesheni maalumu ijulikanayo kama Ondoa Msaliti Buguruni (OMB) kwa lengo la...

READ MORE

Wana Chadema 51 Mbaroni Chato

Viongozi na wanachama 51 wa Chadema waliokamatwa jana wakiwa kwenye kikao cha ndani wilayani Chato wanaendelea kushikiliwa na polisi kwa...

READ MORE

VIDEO: Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amechafua hali ya hewa bungeni akipinga muswada wa mabadiliko ya sheria ya maliasili,...

READ MORE

VIDEO: Lowassa Afika kwa DCI Kuhojiwa, Ulinzi Mkali, Atakiwa Kurudi Tena Julai 13

  DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema, Edward Lowassa  amewasili katika makao...

READ MORE

Breaking News: Chadema Wamtolea Tamko Kali Mzee Mwinyi Baada ya Kutaka Magufuli Atawale Milele

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetoa kauli kali kwa rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kufuatia...

READ MORE

Edward Lowassa Afunguka Alivyohojiwa na DCI, Aachiwa kwa Dhamana (VIDEO + PICHAZ)

  DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kuhusu alivyohojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

HAI: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Yatekekezwa kwa Moto Usiku

KILIMANJARO: Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dkt. Amini Uronu imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu...

READ MORE