Shamsa Ford: Nimeachana na Chid, Naomba Mniache!
				BAADA ya kusambaa kwa taarifa nyingi kuhusu ndoa yake mitandaoni, hatimaye mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford, amekiri kumwagana na mumewe Rashid Said ‘Chid Mapenzi’. 
 
Taarifa za Shamsa kumwagana na mumewe zilianza…			
				 
			