Gamondi ampa tano Chama Ligi ya Mabingwa Afrika
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amempa tano Clatous Chama pamoja na wachezaji wengine kwa kucheza katika kiwango bora mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vital’O.
Yanga inatinga Hatua ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika kwa…