Uhaba wa Condom, Wananchi Watakiwa Kutafuta Njia Mbadala Kujilinda
SERIKALI ya Kenya imewataka wakenya kutumia njia mbadala wakati huu ikihangaika kukabiliana na uhaba wa kondomu.
Taifa hilo linadaiwa kuwa na upungufu mkubwa wa kondomu, takwimu zikionyesha kwamba kondomu zinazohitajika ni…