Dangote kuanza kuzalisha Petroli Kuzalisha mapipa 650,000 Kwa Siku
Kiwanda cha kusafishia mafuta cha Dangote cha Nigeria kitakacho zalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku kinafanyiwa majaribio ya uzalishaji wa petroli, huku kikitarajiwa kufanyakazi kikamilifu kufikia katikati ya Septemba, kwa mujibu…
