×

Tag: Diamond

ZARI AMTIA MATATANI MONDI

KILICHOMPONZA Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ni kauli yake kuwa mjengo anaoishi mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kule...

READ MORE

BAADA YA KUPATANA… DIAMONDI BABA’KE WAFUKUA MAKABURI

DAR ES SALAAM: WIMBO mpya wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wa The One umeshindwa kuzima kishindo cha tukio la msanii...

READ MORE

BAADA YA SHOO 2 TU, BABA D YALEYALE YA MONDI

DAR ES SALAAM: Maji hufuata mkondo, lakini safari hii mkondo ndiyo umefuata maji! Ndiyo hali halisi ya kinachojiri kwenye maisha...

READ MORE

HATIMAYE DIAMOND, BABA YAKE SASA FRESH! WACHEZA MUZIKI WCB – VIDEO

BAADA ya kuishi kwa miaka kadhaa bila maelewano wala uhusiano, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amepatana...

READ MORE

WAKATI MOND AKISUASUA KWA TANASHA… GUMZO NDOA YA ZARI!

UKISIKIA kupindua meza kibabe ndiyo huku anakotaka kufanya mrembo kutoka Uganda Zarinah Hassan ‘Zari’, shemeji wa zamani wa Wabongo kwa...

READ MORE

DIAMOND, HARMONIZE, RAYVANNY NGOMA NZITO… MONDI ATATESEKA SANA!

DAR ES SALAAM: NGOMA ni nzito! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia madogo kutoka familia ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul...

READ MORE

MAFUNZO YA NDOA PADRI AWATAJA WEMA, MONDI KANISANI

  MOROGORO: KATIKATI ya mafunzo ya ndoa, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kigurunyembe Jimbo la Morogoro, FR Respicius Nyamwilu...

READ MORE

Esma: Diamond, Tanasha ndoa kama kawa!

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Esma Khan amefunguka kuwa watu wanao-fikiria ndoa ya kaka yake...

READ MORE

TANASHA ANATEMBELEA NYOTA ZA MOBETO, ZARI?

MUNGU anapoamua kukuinua ni wakati wako tu ukifika, kikubwa ni kuweka jitihada. Hivi karibuni mpenzi wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Tanasha...

READ MORE

DIAMOND Apongezwa Kujirudi kwa Baba Yake

KARIBU tena mpendwa msomaji wa safu hii uipendayo ya Usipojipanga Tunakupanga. Wiki iliyopita tulimleta staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

HARMONIZE AMPIGA BAO DIAMOND

MAISHA yanakwenda spidi mno na kutangulia kwenye maisha haya siyo kufika! Hicho ndicho kinachotokea kwa mastaa wawili wakubwa wa Bongo...

READ MORE

BAADA YA WIMBO WAKE KUPIGWA MUSCAT… BABA DEE, WANAYE KIMEELEWEKA

DAR ES SALAAM: KIMEELEWEKA! Ndivyo unavyoweza kusema, baada kuwepo kwa kutoelewana kwa muda mrefu, hatimaye moshi mweupe umeonekana baada ya...

READ MORE

ZARI AMPA ONYO TANASHA KWA MONDI

DAR ES SALAAM: Taa nyekundu! Mzazi mwenza wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwanamama mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari...

READ MORE

KIM NANA AMNASA MRITHI WA MONDI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lillian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye kuna wakati aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki wa...

READ MORE

KISA MABAO YA STARS, DIAMOND & ZARI WARUSHIANA MANENO MAZITO

  STAA wa Bongo Flva, Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Zari the Boss Lady wameingia tena kwenye vita nzito baada...

READ MORE

TANASHA AANIKA SIRI NZITO ZA DIAMOND CHUMBANI

DAR ES SALAAM: Mwishoni mwa mwaka jana, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alikiri hadharani kuwa; “Tanasha ananijulia...

READ MORE

DIAMOND, HARMONIZE YAWAKUTA KENYA!

DAR ES SALAAM: Kimenuka! Wanamuziki wawili wakubwa wa Afro-Pop kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond...

READ MORE

KWA MATESO HAYA NINAYOPATA, BABA DIAMOND: BORA NIFE TU!

NI bora nife tu kwa mateso haya! Baba mzazi wa mwanamuziki kiwango wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul...

READ MORE

Breaking: Diamond Awasili Karimjee Kumuaga Ruge – Video

MSANII wa WCB, Diamond Platnumz leo Machi 2, 2019 amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuungana na...

READ MORE

DIAMOND HUTAPATA BABA MZAZI MWINGINE, EPUKA HII LAANA!

NIMESHITUSHWA sana na hali aliyofikia mzazi wa msanii Diamond. Namzungumzia Abdul Juma anayesumbuliwa na matatizo ya miguu yake ambayo imevimba...

READ MORE

Dada wa DIAMOND Kutoka Uingereza “Baba Ana Hali Mbaya Sana!” – Video

IKIWA ni siku chache zilizopita, mwanadada anyedai kuwa ni dada wa Staa wa Muziki Bongo, Diamond Platnumz, aitwaye Zubeda kutua Bongo...

READ MORE

SERIKALI YAGOMA KUUPA MTAA JINA LA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Imevuja! Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Mivumoni, Madale jijini Dar, imekataa kuupa mtaa jina la staa...

READ MORE

HIVI NDIVYO… MASTAA WANAVYOFURAHIA VALENTINE’S DAY

SIKU ya Wapendanao (Valentine’s Day) ni siku inayoaminiwa duniani kote kuwa ni maalum kwa mtu unayempenda. Hata hivyo, siku zilivyozidi...

READ MORE

TANASHA ATAKIWA KUJIHESHIMU KWENYE MAVAZI

KAMA kawaida wiki iliyopita kwenye safu hii pendwa tulimuweka mtangazaji wa Radio NRG nchini Kenya ambaye pia mpenzi wa msanii...

READ MORE

TANASHA AZUIWA KUZAA NA MONDI

DAR ES SALAAM: Penzi la mastaa wa Afrika Mashariki, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtangazaji nyota...

READ MORE

Bata la Diamond na Tanasha Usipime!

MPENZI wa staa wa Bongo fleva na Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz, Tanasha Donna Oketh ameonekana kuweka maneno ya watu...

READ MORE

AKA Afunguka KOLABO na DIAMOND na HARMONIZE! – VIDEO

MSANII nguli wa muziki kutoka Africa Kusini, AKA, ametua Bongo mapema leo na kufikia katika Hoteli ya Sea Cliff iliyopo...

READ MORE

ZARI AWAUMBUA TANASHA NA SHILOLE

DAR ES SALAAM: Mchumba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameendelea kutengeneza vichwa vya habari Bongo, Amani...

READ MORE

KILICHOTOKEA MBELE YA MAKONDA, SHEHE MKUU AMLIPUA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Kufuatia kilichojiri ukumbini usiku wa kuamkia juzi Jumatatu, Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad...

READ MORE

Kikwazo Ambacho Tanasha Amemwekea Diamond Kuhusu Ndoa

PAMOJA na kukaribishwa ukweni jijini Dar huku ndoa ikisubiriwa kwa shauku kubwa, ghafla tu mchumba wa staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Q BOY “Bora Diamond Hajamzika baba Kiba” – VIDEO

Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Mwanamuziki na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi, anayeishi Sinza Mori na...

READ MORE

Ubwabwa na Maharage Vyataka Kutoa Roho Mbosso

MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliye chini ya Lebo ya WCB, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso’ amefunua siri yake kwamba...

READ MORE

Diamond ‘Kafa kaoza’ kwa Tanasha, Amdekeza Hadharani, Utapenda! – VIDEO

Mastaa kibao kutoka katika tasnia mbalimbali nchini wamefika katika ukumbi wa Hyatt Regency kwa ajili ya kumsapoti oFISA habari wa...

READ MORE

Mambo 5 Usiyoyajua Kuhusu TANASHA wa DIAMOND! – VIDEO

Hivi karibuni Jina la Tanasha Donna limekuwa maarufu sana baada ya kuanza uhusiano na Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,...

READ MORE

MAISHA YAKE YA SASA… DAKTARI AMUONYA ZARI!

DAR ES SALAAM: Kwani anateseka? Kufuatia tetesi za mitandaoni kuwa mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Q BOY – “DIAMOND Sijaongea Nae / Anamuoa TANASHA Mmh” – VIDEO

MKALI wa Bongo Fleva ambaye pia ni mkali wa mavazi, Q Boy, baada ya kumuangukia aliyekuwa rafiki yake na Boss...

READ MORE

BAADA YA KUCHUNGULIA KIFO, HII NDIYO SIMULIZI MPYA MAISHA YA HAWA

AMA kweli Mungu hamtupi mja wake! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari njema za afya ya msanii wa Bongo...

READ MORE