Barua ya Rais Samia Yasomwa Bungeni, Ni Kuhusu Tuzo ya Babacar Ndiaye
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameliandikia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, barua ya salamu za shukrani kuwashukuru wabunge kwa kujadili na kutoa azimio la kumpongeza baada ya kupata tuzo ya Babacar Ndiaye nchini Ghana, ambayo…