DTB YATWAA UBINGWA WA MASHINDANO YA KIKAPU
Wachezaji wa kikapu kutoka DTB Tanzania wameifunga NMB kwa pointi 90-73 katika pambano la fainali ya michuano ya Kikapu kwa Taasisi za fedha (Bankers Basketball League) kwa mwaka 2018/2019. Fainali ya pambano hilo ilifanyika…