Inauma! Kisa Bodaboda – Ndoa Ya Dada’ke Dula Makabila Yavunjika, Anafunguka –…
Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia, Amina Vikoba amefunguka kupitia kipindi cha Katambuga kupitia Global Radio na kueleza kuwa kwa sasa hayupo sawa na mume wake kwa sababu ya kupishana maelewano.
Amina Vikoba…