Mshambulizi Wa Man City Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Wa EPL
Mchezaji wa Manchester City Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo za mchezaji bora wa mwaka wa Primia Ligi katika msimu mmoja.
Mabao 36 ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22 yamemfanya avunje rekodi ya Ligi…
