×

Tag: EPL

Mshambulizi Wa Man City Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Wa EPL

Mchezaji wa Manchester City Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo za mchezaji bora wa mwaka wa Primia Ligi...

READ MORE

Fulham Yafanikiwa Kupanda Daraja, Sasa Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza Msimu Ujao

KLABU ya Fulham yenye makao yake jijini London katika Uwanja wa Craven Cottage imefanikiwa kupanda daraja na kushiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Arsenal Dimbani Leo na Rekodi Mbovu

WAKATI  ikishuka dimbani leo dhidi ya Norwich, Klabu ya Arsenal imeweka rekodi mbovu kwa mechi za mwanzo ndani ya Ligi...

READ MORE

Kane Aitega Spurs

MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane imeripotiwa kuwa anataka kulipwa mshahara wa Paundi 400,000 sawa na Bil. 1.2 na ushee...

READ MORE

Ligi Kuu England Moto Kuwaka Leo na Kesho

PAMOJA na Ligi Kuu England kutarajiwa kuendelea leo kwa michezo kadhaa, mashabiki wanasubiri kwa hamu mchezo mkali wa kesho. Kesho...

READ MORE

Wikiendi Ya Kibabe Kunako Ligi Soka Mbalimbali Barani Ulaya

Baada ya kuzijua mbivu na mbichi za Ligi ya Mabingwa, ligi zingine kuendelea na michezo yake wikiendi hii. Nani anashuka/kupanda...

READ MORE

Real Madrid Uso Kwa Uso Na Liverpool Leo

Ukiwa na Meridianbet, huna sababu ya kuwaza wiki inaanza au kuisha kwa namna gani? Hii ndio maana halisi ya Nyumba...

READ MORE

Liverpool Vs Chelsea Kukinukisha EPL Alhamisi Hii

Mwezi Machi kuanza kwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza – EPL sambamba na muendelezo wa mashindano mbalimbali barani Ulaya....

READ MORE

Manchester United v Arsenal Kukiwasha Kesho – Premier

Mambo yanazidi kunoga kwenye Ligi Soka Mbalimbali barani Ulaya. Mbio za Ubingwa na mchakamchaka wa kutoshuka daraja msimu ujao, ni...

READ MORE

Liverpool Yapoteza EPL, Klopp Asisitiza Hana Wa Kumlaumu -Video

JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa hakuna wa kumlaumu kwa kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu England mbele...

READ MORE

PSG Yamfukuza Kazi Kocha Wake

Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) ya nchini Ufaransa leo Desemba 24, 2020 imemfuta kazi Kocha, Thomas Tuchel kwasababu ya...

READ MORE

Arteta: Spurs Wapo Vizuri Zaidi Yetu

BOSI wa Arsenal, Mikel Arteta, amekiri kuwa Tottenham inastahili kuwa juu kwenye msimamo wa Premier kutokana na kufanya vizuri, Leo...

READ MORE

London Derby: Tottenham Hotspurs Uso kwa Uso na Arsenal Jumapili Hii

Ni muendelezo wa London Derby katika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo...

READ MORE

Hatimaye Mashabiki Uingereza Kurejea Uwanjani

HUENDA mashabiki wa soka nchini Uingereza wanaweza kurejea tena viwanjani hivi karibuni, baada ya ombi la mashabiki kupata saini nyingi...

READ MORE

Man City yaanza kazi, yabeba kombe la kwanza

MANCHESTER City wameanza kutwaa ubingwa wa kwanza msimu huu baada ya kuwachapa Liverpool kwa penalti 5-4 na kutwaa Ngao ya...

READ MORE

Samatta Awaniwa na Brighton, Aston Villa za England

    MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, anawaniwa na timu za England za Brighton,...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Atoa Hongera Kwa Guardiola

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amesema kuwa hakika Manchester City walikuwa na msimu mzuri ndiyo maana wametwaa ubingwa wa Ligi...

READ MORE

TOP FOUR; HAINA MWENYEWE KWENYE PREMIER LEAGUE MSIMU HUU

KWA hali ilivyo kwa sasa ni wazi kwamba hakuna aliyejihakikishia kumaliza nafasi nne za juu kwenye Premier League msimu huu....

READ MORE

Premier kuomboleza kupotea kwa Sala

UONGOZI wa Ligi Kuu ya England ‘The Premier League’ umethibitisha kuwa timu zote shiriki zitakuwa na dakika moja ya ukimya...

READ MORE

Duuh Coastal ya Kiba Siyo kwa Mikwara Hii Aise

UONGOZI wa Coastal Union ‘Wagosi wa Kaya’ umesema kuwa malengo yao msimu huu katika Ligi Kuu Bara ni kushinda kila...

READ MORE

LIVERPOOL YASHUSHA KIPIGO CHA AINA YAKE KWA WEST HAM

KLABU ya Liverpool imeanza na ubabe katika Ligi Kuu England (EPL) kwa kuilaza West Ham United kwa ushndi wa mabao...

READ MORE

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOHAMA SIKU YA MWISHO EPL

Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji England lilifungwa mnamo Alhamisi 9 Agosti saa moja saa Afrika Mashariki (ambazo ni saa...

READ MORE

RATIBA YA EPL, ARSENAL KUANZA NA MAN CITY HUKU MAN U Vs LEICESTER

RATIBA ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imetoka rasmi leo Alhamisi, Juni 14, 2018 ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa...

READ MORE

Adebayor Anaitandika Tu Familia Yake!

KATIKA maisha kuna mambo mengi ambayo kwako yanaweza kuwa ni ya ajabu lakini kwa mtu mwingine, au jamii nyingine hicho...

READ MORE

MAHREZ AONYWA KUPIGWA CHINI LEICESTER

KOCHA Craig Shakespeare amepanga kuzungumza na Riyad Mahrez lakini amekusudia kumuonya winga huyo kuwa kama akionyesha kutofanya juhudi ili kushinikiza...

READ MORE

Usajili Ghali Wa Wachezaji Kwa Miaka Yote

MCHEZAJI bora husajiliwa na fedha nyingi, na ili timu yako ionekane pia kuwa na thamani na kuwavutia wachezaji mbalimbali basi...

READ MORE

Mohammed Dewji Adaiwa Kutaka Arudishiwe Mamilioni Aliyowapa Simba

Ikiwa ni siku mbili tu zimepita baada ya Simba kutiliana saini kandarasi ya udhamini na kampuni ya SportPesa, mdau wa...

READ MORE

Yanga Yaipiga Kagera Sugar bao 2-1 Uwanja wa Taifa

Mchezo umemalizika DK 90 Yanga wanaondoka kifua mbele… Dk 3 zimeongezwa kabla mchezo kumalizika Dk 87, Mbaraka Yusuf wa kagera...

READ MORE

Ni vita ya ‘Top Four’, Siyo Mourinho na Wenger

KOCHA wa Arsenal, Arsène Wenger amesema anaamini mchezo wa kesho Jumapili wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United utakuwa...

READ MORE

Simba: Lyon Mkijichanganya Imekula Kwenu

Na Khadija Mngwai na Sweetbert Lukonge | Championi Jumamosi | Habari SIMBA imekiri kwamba kweli iliteleza na kufungwa bao 1-0...

READ MORE

Mbaraka Amkana Aveva, Adai Hana Mkataba Simba

 Na Said Ally | Championi Ijumaa | Habari BAADA ya juzi Jumatano, Rais wa Simba, Evans Aveva kutangaza klabu hiyo...

READ MORE

Msuva Ataja Dakika 450 za Kifo

Said Ally | Championi Ijumaa | Habari KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, ameweka wazi kuwa watapambana kwa ajili ya...

READ MORE

Fainali Ya Shirikisho… Simba vs Mbao Kupigwa Jamhuri, Dodoma

Hatimaye fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itafanyika Mei 28 kwenye Uwanja wa Jamhuri...

READ MORE

Marouane Fellaini Alambwa Redi, Manchester Derby Ngoma Droo (Video)

Baada ya tambo za muda mrefu hatimaye mchezo wa Manchester City na Manchester United umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu...

READ MORE

Wayne Rooney Atangaza Kusepa Man Utd

Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Mmoja wa wachezaji wa timu hiyo...

READ MORE

Thamani ya Mbwana Samatta Yapandishwa Ulaya

  Wilbert Molandi | CHAMPIONI |Dar es Salaam NEEMA imezidi kumuangukia mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga Klabu...

READ MORE

Ngoma, Kamusoko Warejea Yanga

  Wilbert Molandi |CHAMPIONI | Dar es Salaam MSHAMBULIAJI Mzimbabwe, Donald Ngoma na kiungo Thabani Kamusoko juzi Jumatatu walifufua matumaini ya Yanga...

READ MORE

EPL: Liverpool Achezea 2 za Hull City

JANA Jumamosi, Februari 4, 2016, Klabu ya Liverpool wakiwa ugenini wameendeleea kuchezea kichapo baada ya kunyukwa na Klabu ya Hull...

READ MORE

Chelsea Yaijipigia 3-1 kwa Arsenal

Marcos akishangilia bao. Marcos akiifunga Arsenal kwa bao la ‘ndoo’ Wenger (mwenye tai nyekundu) akiwa haamini kinachoendelea Kocha wa Chelsea...

READ MORE