Makambo Apelekwa Kenya
HUKU timu yake ya zamani ya Yanga ikipewa Waarabu kutoka Misri timu ya Pyramids FC, Heriter Makambo na timu yake ya Horoya AC wamepangiwa kucheza dhidi ya timu ya Bandari kutoka Kenya.
Makambo anayeitumikia Horoya AC ya…
