The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

HipHop

Swizz Beats Apagawa na Singeli

KWA kinachoendelea kwa rapa, produyza na mfanyabiashara mkubwa kutoka Marekani, Swizz Beatz ni wazi kuwa tayari ameshachizika na mikwaju ya singeli kutoka Bongo mara baada ya kuonekana mara kadhaa akiruka na mkwaju wa Chura Superstar…

R.O.M.A Sasa Kama Nas

Makala: Boniphace Ngumije | RISASI JUMATANO| RISASI VIVES MAPEMA mwanzoni mwa miaka ya 2000 baada ya dunia kushuhudia ‘battle’ ya wakali wa Hip Hop Marekani, Nasir Jones ‘Nas’ na Shawn Carter ‘Jay Z’ kila mmoja akidai ni mfalme…