The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Jafo

Jaffo Atoa Siku 45 Mpwapwa

UONGOZI wilaya ya Mpwapwa imepewa siku 45 kukamilisha usimikaji wa mabomba na matanki ya kuhifadhi maji safi na salama kwenye vijiji vya Mbugani, Ngh’ambi na Kiegea katika Wilaya ya Mpwapwa. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi…

Jafo Awapa Shavu Mastaa Hawa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amewateua wasanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, Nandy, Harmonize, Idris Sultan, Monalisa na wangangazaji Oliver Nyeriga wa Eatv, Millarda Ayo wa Clouds Fm na…

Waziri Jafo Atangaza Nyungu Siku 7

WAZIRI  wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, ametangaza kuanzia Februari Mosi hadi 7, 2021,  zitakuwa siku saba za kupiga nyungu kwa Watanzania ili kuchukua tahadhari dhidi ya ya ugonjwa wa Covid19.…

Waziri Jafo Aipa Tano Buchosa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo, ameipongeza Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa jengo jipya la halmashauri hiyo lenye…

Laki Saba Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza

Jumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021. Kauli hiyo imebainishwa na…