Kampuni za Jumia, Tecno Kuuza Bidhaa Kwa Mtandao
KAMPUNI ya Jumia Tanzania inayouza bidhaa kwa njia ya mtandao, itashirikiana na kampuni za simu za Tigo na Tecno kuuza bidhaa zake kwa bei nafuu jambo litakalowazesha Watanzania wa vipato mbalimbali kuagiza na kupata bidhaa hizo kwa…
