Papa Francis Alaani Kiukali Vita ya Urusi na Ukraine, Kyiv Yasikitishwa na Kauli yake
KATIKA taarifa ya Vatikani, Papa Francis leo ametoa maneno yake makali zaidi kuhusu vita vya Urusi na Ukraine, akivitaja kuwa ni "dhalimu ya kimaadili, isiyokubalika, ya kishenzi, isiyo na maana, yenye kuchukiza na ya kufuru."
…
