Patrick Kanumba Afunguka Bifu la Mama Kanumba na Lulu – Video
				KATIKA kipindi cha 'BONGO 255' leo Februari 11, wamepiga stori na muigizaji, Othamn Njaidi 'Patrick Kanumba', ambaye kwa sasa anatamba kwenye series ya 'PAZIA' kuhusiana na ishu mbalimbali za kazi zake, lakini pia amegusia bifu la Mama…			
				 
			