Mama, Wasanii Wamkumbuka Kanumba Kaburini Kwake – Video
IKIWA ni mwaka wa sita tangu tasnia ya filamu nchini impoteze staa wa filamu, Steven Kanumba, ‘The Great’, wanafamilia, ndugu, jamaa pamoja na marafiki, wameungana na kufanya ibada katika kaburi la leke lililopo Makaburi ya Kinondoni…
