×

Tag: kocha

Kocha Mpya Simba Atua na Majembe Matatu ya Kazi

UNAAMBIWA mchakato wa kupitia wasifu wa kumpata Kocha Mkuu wa Simba atakayerithi mikoba ya Pablo Franco, umekamilika na kwamba, kocha...

READ MORE

Kocha Apigwa Risasi Katikati ya Mechi

WACHEZAJI walilazimika kukimbia dimbani wakati mashabiki wa Klabu ya Hurucan Las Heras walipokuwa wakicheza dhidi ya Ferro de General Pico...

READ MORE

Gomes Aingilia Dili la Zimbwe Kutua Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes amegoma kuona mastaa wake wakiondoka kwenye kikosi chake katika msimu ujao.   Kati...

READ MORE

Kauli ya Kocha wa Stars Kuelekea Game ya Equatorial Guinea – Video

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021, ambao...

READ MORE

Kocha huyu Kurithi Mikoba ya Kaze Yanga

HUBERT Velud, Raia wa Ufaransa inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na baadhi ya mabosi wa Yanga wakiwa na mpango wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

ipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazeti la...

READ MORE

Breaking: Kocha wa Simba Abwaga Manyanga

UONGOZI  wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck,  kwa makubaliano ya pande mbili. Nafasi...

READ MORE

Papii Kocha Amshangaa Koffi!

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Johnson Nguza maarufu Papii Kocha amesema amemshangaa mkongwe wa dansi kutoka Congo DR, Koffie Olomide katika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kocha Simba, Global Wawakumbuka Mayatima Mwanza

  Kampuni ya Global Publishers chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo wakishirikiana na aliyekuwa kocha na mchezaji wa zamani wa...

READ MORE

James Kotei ni Suala la Muda tu Yanga

BAADA ya tetesi za muda mrefu za aliyewahi kuwa kiungo mkabaji wa Simba, James Kotei, kutakiwa na Yanga, hatimaye uongozi...

READ MORE

Mbelgiji Atenga Saa 168 Kuisuka Yanga Mpya

KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa ametenga wiki moja, sawa na saa 168 kwa ajili...

READ MORE

Kocha Mpya wa Yanga Atua Dar, Asepa Zenji – Video

Kocha mpya wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji tayari amewasili jijini Dar es Salaam na kuelekea Zanzibar...

READ MORE

Mfaransa wa Simba Aanza Kazi Rasmi, Shuhudia Mziki Wake

Kocha Pierre Lechantre raia wa Ufaransa, ameanza kazi yake ya kuiona Simba SC ambayo sasa iko kileleni mwa Ligi Kuu  Tanzania...

READ MORE

TANZIA: Kocha wa Mwadui FC Afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, Jumanne Ntambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumatano, Januari...

READ MORE

EXCLUSIVE: HUYU HAPA KOCHA MPYA, CHAMPIONI LAMUIBUA MAFICHONI

  Pamoja na juhudi kubwa za Klabu ya Simba kufanya juhudi za kumficha kocha wake mpya Mfaransa, Gazeti la CHAMPIONI...

READ MORE

LWANDAMINA AONGEZEWA MWAKA MMOJA YANGA

  KIROHO safi Yanga imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kocha wake George Lwandamina raia wa Zambia baada ya ule...

READ MORE

BREAKING NEWS: SIMBA YAMTANGAZA KOCHA WAO MPYA

Siku chache kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2017/2018, kipa wa zamani wa timu ya taifa ya...

READ MORE

Kocha wa Stand United, Morocco Afungiwa

Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa 72), imemfungia Kocha wa Stand United,...

READ MORE