Samatta Awaniwa na Brighton, Aston Villa za England
MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, anawaniwa na timu za England za Brighton, Aston Villa kwa gharama ya Paundi Milioni 12 (Tsh. 34,930,999,680)
Pia Leicester, Watford na…
