Mkono wa Fundi Seremala Uliokatwa Waunganishwa – Pichaz
FUNDI seremala ambaye mkono wake ulibaki ukining’inia kati ya ngozi na mfupa baada ya kupata ajali mbaya ya kukatwa na msumeno wa umeme, amefanikiwa kufanyiwa upasuaji wa kuungwa mkono huo. Anthony Lelliott, mwenye umri wa miaka 46, mkono…
