The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

LULU

Lulu Atema Nyongo kwa Wema

Kimeumana ile mbaya! Kwa mara ya kwanza, baada ya kusambaa kwa ubuyu kwamba ana ugomvi na staa mwenzake wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Elizabeth Michael au Lulu amevunja ukimya. Kabla ya Lulu kufunguka kilichomkwaza kwa Wema,…

Lulu Adaiwa Kuwa Kuwa Mjamzito

JE, ni mwendelezo wa “kufyatua’ watoto kimyakimya kwa mastaa wa kike Bongo kama alivyoanzisha ‘shoo’ hiyo Jackline Wolper?Inawezekana! Maana baada ya Wolper kujifungua mtoto hivi karibuni kwa kuwaspraiz watu, gumzo limehamia…

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya msingi Shule ya Feza Boys. Akizungumza na Mikito…

Uchumba wa Lulu Waweka Rekodi

STORI: IMELDA MTEMA, DAR UCHUMBA wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Siza ‘Majizo’, umeweka rekodi ya aina yake kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo. Lulu amesema hadi…

Lulu Atoa Povu la Mimba!

MUIGIZAJI mwenye vituko lukuki Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusiana na mimba yake basi akiibuka tena atakuwa amebeba kichanga ili kuwaziba midomo wananzengo. Akizungumza na Za…

Fahyma Anena Bifu Lake na Lulu

WAKATI stori zikien­delea kusambaa mitandaoni ame­chukuliwa mumewe na mwigizaji Eliza­beth Michael ‘Lulu’, mke wa msanii wa Bongo Fleva, Ray­mond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Fayvan­ny’ ameanika kinachoende­lea. Tetesi za bifu…

Wamepitia Magumu, Wakasimama Tena!

KATIKA maisha kuna vipindi vya furaha na huzuni. Kuna wakati binadamu anapitia maisha magumu mno na kujikuta akijiuliza amemkosea nini Muumba wake licha ya kwamba wakati wa furaha wengi wetu tunasahau kabisa kwamba ipo siku zitakuja nyakati…

LULU AVUNJA REKODI YA ZARI

DAR ES SALAAM: Kamwene Lulu! Ndivyo unavyoweza kumsalimia mwanadada mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ukikutana naye baada ya kuvunja rekodi iliyowahi kuwekwa na mwanamama mjasiriamali kutoka Uganda, Zarinah…