WANAMUZIKI wanaounda kundi la ‘Tanzania All Stars’ walioimba wimbo wa ‘LALA SALAMA’ wamefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya...
READ MOREMBUNGE wa Viti Maalum (Chadema) Halima Mdee, amefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Hayati Magufuli.
READ MOREASKOFU wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe...
READ MORERatiba ya kuagwa kwa Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania chato, Geita...
READ MOREMWILI wa Hayati Magufuli, tayari umewasili salama nyumbani kwake Chato mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, wakazi wa mkoa huo...
READ MOREHATIMAYE mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli umewasili nyumbani kwake Chato...
READ MOREIJUMAA Machi 26, 2021 wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watampumzisha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John...
READ MOREWAKAZI wa Jiji la Mwanza na mikoa jirani,wamejitokeza kuuaga mwili wa Hayati Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba na katika...
READ MOREKAMPUNI ya Global Publishers imesikitishwa na taarifa iliyotolewa jana Jumatatu Machi 23, 2021 na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 24,2021 amewaongoza viongozi mbalimbali wa serikali katika mapokezi ya mwili wa Hayati Rais John...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumatano Machi 24, 2021 anawaongoza wakazi wa Mwanza na mikoa jirani kumuaga aliyekuwa Rais...
READ MOREAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya...
READ MOREKiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya Raila Odinga ameandika ujumbe mrefu wa salamu za rambirambi akimbukumba rafiki yake Hayati...
READ MOREJipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...
READ MORERais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping amlilia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati...
READ MORESamia Suluhu Hassan ameandika historia ya kuwa Rais wa sita wa Tanzania akiwa ni mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ametoa rai kwa Watoto na Wazee kufuatilia shughuli za kumuaga aliyekuwa Rais wa...
READ MOREASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufunuo, Mchungaji Paul Bendera alipata ndoto ya kiroho kabla ya Rais wa sasa wa Jamhuri...
READ MOREWaziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema zaidi ya watu bilioni 3.9 duniani kote walifuatilia matangazo ya moja kwa moja...
READ MORERais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa mstari wa mbele kuimarisha maisha ya Watanzania...
READ MOREWAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwa kuwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa Rais...
READ MOREWAKATI nchi ikiwa kwenye majonzi mazito ya kumpoteza Rais wake, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ baadhi ya mastaa ndani na...
READ MOREWAKATI taifa likiwa katika kipindi Cha maombolezo ya Hayati Dkt. John Magufuli, wananchi wa Jimbo la Buchosa wamekusanyika na kufanya...
READ MOREMwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli umewasili visiwani Zanzibar kwa...
READ MORE Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli umewasili katika visiwa vya Zanzibar ambapo hii leo mwili huo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa...
READ MORE“Samia usiwe na wasiwasi kuhusu afya yangu, nenda kaangalie miradi tuliyoahidi kuwahudumia wananchi peleka salamu zangu waambie ninawapenda,” amesema...
READ MOREMakamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amesema aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitembea pamoja nchi nzima...
READ MORESIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...
READ MORERais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo ni siku kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, lakini pia ni siku kubwa...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amesema alipata wakati mgumu sana kutangaza kifo cha mtangulizi wake John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021...
READ MORERais wa DRC Felix Tshisekedi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema DRC na Umoja wa Afrika kwa pamoja wamesikitishwa...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa ataiongoza nchi vizuri na wale ambao...
READ MORERais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema Dkt John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania, atakumbukwa kwa jinsi alivyohamasisha upendo na uchapakazi...
READ MORERais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemweleza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hali ya masikitiko na majonzi amesema haamini macho...
READ MOREALIYEKUWA Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliongoza sala na madaktari pamoja na wahudumu wake hospitalini kabla ya...
READ MOREKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais...
READ MORERais Yoweri Museveni wa Uganda amesema nchi yake inaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
READ MORE