×

Tag: Makala

FAHAMU TATIZO LA UVIMBE WA TEZI ZA SHINGO

UGONJWA huu ni uvimbe unaotokea shingoni hauchagui umri na hufahamika kwa kitalaamu kama cervical/neck lympadenopathy.    Tatizo la kuvimba tezi...

READ MORE

KUMVUMILIA ASIYEVUMILIKA PENZINI NI HATARI, FANYA MAAMUZI!

KATIKA lugha ya Kiswahili kuna misemo mingi inayotoa muongozo wa namna tunavyoweza kuyaendesha maisha yetu. Ipo misemo ambayo unaweza kudhani...

READ MORE

KUNA WAKATI PENZI LINAGEUKA KUWA KIFO, JIEPUSHE HIVI

NIANZE kwa kuwatakiwa Waislamu wote nchini mfungo mwema wa Mwenzi Mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha kufanya ibada, kujinyima kula...

READ MORE

FAHAMU SARATANI YA MATITI NA JINSI YA KUJIPIMA

SARATANI ya matiti ni moja ya magonjwa yanayoongoza katika kusababisha vifo kwa kina mama duniani. Lakini licha ya ugonjwa huo...

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WAISHIO ANGANI -8

Wiki iliyopita tulianza kupata shuhuda za mamilioni ya watu duniani waliolalamika kutokewa na aliens, lakini Serikali hazijawahi kulithibitisha hilo. Inavyosemekana,...

READ MORE

MOYO WA SHUKRANI UNA MAANA KWENYE MAPENZI!

KWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-3

HUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA KUKOSA HEDHI

KUKOSA au kutopata hedhi kabisa ni tatizo linalowapata wanawake wengi sana kwa siku za hivi karibuni na kutokana na maswali...

READ MORE

TRENI HAITEMBEI KWENYE LAMI

SHOGAA eeeeh kwanza una kifua? Nisije sema neno hapa ukadondoka kwa kukosa pumzi bureee! Heee heeeiyaa wanakwambia kigodoro hakina muziki...

READ MORE

LIJUE TATIZO LA KUTOKWA NA KINYAMA NJIA YA HAJA KUBWA (BAWASIRI)

BAWASIRI ni ugonjwa unaoibukia katika njia ya haja kubwa (rectum). Hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. ...

READ MORE

I AM SORRY DEAR ZINAVYOZOROTESHA PENZI!

KWA wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama...

READ MORE

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA KULIKO UENDAKO !

JUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano.  Ndugu...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-2

KUWA na mume au mke bora ni matokeo ya kuwa katika uchumba ulio bora na sahihi. Hakuna kitu kinachokuja kwa...

READ MORE

FAHAMU TATIZO LA MAPAFU KUJAA MAJI

 MAPAFU ndio kiungo kinacho-tegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana ubongo ukikosa oksijeni ndani ya dakika 5 kwenda juu...

READ MORE

TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO

UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa...

READ MORE

IFAHAMU PRESHA YA KUSHUKA (HYPOTENSION)

PRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari.  Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...

READ MORE

KUNA VIUMBE WA AJABU WAISHIO ANGANI -6

ILIPOISHIA IJUMAA ILIYOPITA… Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa...

READ MORE

MABADILIKO NA ATHARI KWENYE MZUNGUKO WA HEDHI

TATIZO la mabadiliko yasiyo ya kawaida katika mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale...

READ MORE

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA

KUPATA mwenzi bora wa maisha siyo mchezo, lazima ubongo wako ufanye kazi sawasawa ili uweze kugundua kwamba mpenzi uliyenaye anafaa...

READ MORE

DIRISHA HALIFUNGWI NA KUFULI

SHOGA shangaa-shangaa mjini hapa, kama ni msimu embe subiri mwisho wa mwaka ndiyo hizooo zaja, uongo? Ukitaka kujifunza mbio wanasema...

READ MORE

IFAHAMU PRESHA YA KUSHUKA (HYPOTENSION)

PRESHA ya kupanda ndio maarufu duniani lakini ipo presha ya kushuka ambayo nayo ni hatari.  Hypotension ndio jina linalotumika kuelezea...

READ MORE

UNAFANYA NINI ZAIDI YA KUMWAMBIA NAKUPENDA?

JAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya kimapenzi....

READ MORE

KUKU HAKANYAGI MARUMARU

HALOOOOO eeeh sho­ga yangu mwenza­ko nam­shukuru Jalali kwa kunijalia uzima ulioni­wezesha kuonana nawe katika uga wetu huu tunaozungumzia ishu za...

READ MORE

NGUVU YA UVUMILIVU NA MAANA YA MAPENZI!

NI Jumatatu nyingine njema, Mungu ametupa tuweze kujidaidai hapa duniani. Ni vyema kumshukuru na kuendelea kumsifu yeye siku zote za...

READ MORE

NAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku...

READ MORE

MABINTI WANAHADAIKA NA PETE ZA UCHUMBA

WEWE msomaji wa Boyfriend and Girlfriend ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO

HAYA jamani nimekuja miye mwenye maneno ya shombo, eti sina tofauti na harufu ya nguru, sina siri kama kitanda cha...

READ MORE

MAMBO MADOGO YANAVYOWEZA KUIVUNJA NDOA!

LEO tutaangalia mambo ambayo wewe unaweza kuyaona ni madogo madogo lakini hakika yanaweza kuivunja ndoa yako kama siyo kuiweka matatani....

READ MORE

EPUKA HILI UNAPOKUWA NA HASIRA NA MWENZA WAKO

JUMAMOSI nyingine Mungu amenijalia afya njema. Tunakutana tena kwenye uwanja wa mahaba, kupeana mambo mbalimbali yanayoweza kutusaidia katika mahusiano. Kizazi...

READ MORE

KUTENGANA KWA MUDA KUNAVYOWEZA KUOKOA PENZI LINALOKUFA

KATIKA safari ya mapenzi ya watu wawili wanaopendana, lazima kuna milima na mabonde. Wakati mwingine, changamoto zinazoibuka, zinakuwa ni ndogo...

READ MORE

MBINU ZA KUMVUTA MSICHANA MIKONONI MWAKO !-2

TUPO kwenye sehemu ya mwisho ya mada yetu, tukiangalia vitu ambavyo huwavutia zaidi wasichana. Lengo la mada hii ni kuwasaidia...

READ MORE

JUISI HAIWEKWI ASALI

PAMBEEE shoga wanakwam­bia ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na siku hizi mwanaume hasifiwi kuvaa bali pochi, upo nyonyo?...

READ MORE

TUKIWAPENDA WASIOTUPENDA, TUWE TAYARI KULIA!

HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhu­siano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiamini­sha kwa asilimia...

READ MORE

TAHADHARI YA KUCHUKUA KWA HOMA YA INI!

UGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...

READ MORE

MSIMAMO; SILAHA KUBWA YA MAFANIKIO PENZINI

JUMATATU nyingine nzuri imewadia. Mungu ametupa upendeleo mimi na wewe kuiona siku hii. Ni vyema tumshukuru yeye kwa zawadi hii...

READ MORE

AKILI ZA KICHAGA NDANI YA KICHWA CHA UWOYA

MACHO yake yanaweza kukubabaisha kwa jinsi yalivyo mazuri, ukamchukulia poa. Mwonekano wake wa kipekee, umbo la kike la kuvutia vinaweza...

READ MORE

DAWA KWA ANAYEUMIA KUKATALIWA !

MAPENZI ni hisia. Hisia kali za mapenzi zinaanzia moyoni. Macho yanaona, yanatamani, yanashawishika. Moyo unapokea matamanio na ushawishi wa macho....

READ MORE

USISIKILIZE WATU PEMBENI LAKINI KUWA MAKINI, LISEMWALO LIPO

UNAPOKUWA kwenye uhusiano wa kimapenzi na mtu unayempenda kwa dhati, unakuwa ni kama umepigwa na upofu fulani hivi, huwezi kusikia...

READ MORE

MSIBA HAUNA VIGELEGELE

YAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafa­kari meseji moja tu! Hata kama wa­nawake tumeum­biwa mateso si kwa...

READ MORE

MAPENZI KUNOGA KIPINDI CHA BARIDI NI TATIZO, SH’TUKA!

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...

READ MORE