Gari la Maiti Lakamatwa na Shehena ya Mirungi Tanga
JESHI la Polisi Mkoani Tanga limemkamata mkazi wa Kimara Jijini Dar es Salaam Simon Pasian Tarimo(37) akiwa amebeba mirungi bunda 1685 ambazo ni sawa na kilogramu 133 ikiwa imehifadhiwa ndani ya mifuko sita ya Salfate kwenye gari la…
