The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mastaa

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu…

Warembo Hawa Walikimbiza Mbaya

GUMZO linaloendelea ni juu ya maisha ya mwanamama Pauline Zongo ambaye ni miongoni mwa warembo walioweka msingi wa mabinti kujiingiza kwenye muziki, lakini sasa anakabiliwa na changamoto za kiafya akidaiwa kujiingiza kwenye ulevi wa…

Mo Dewji Akutana na Mastaa Simba

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, mapema jana aliwaandalia chakula cha mchana wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo, ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuelekea Kigoma kucheza dhidi ya Yanga.…

Lulu Amvaa Shabiki Mtandaoni

WAKATI watu wakiwa bize na habari ya P Funk na binti yake Paula, mara paap staa wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ naye akakiamsha baada yamkujibu kejeli shabiki yake mtandaoni ambaye alikuwa anajaribu kumpa ushauri juu ya uchumba…

Fleva Imerudi Kama Zamani!

MUZIKI wa Bongo Fleva ni muziki wa aina yake, kwani haujawahi kuchuja tangu ulipoanza kama ilivyo Taarab na Dansi ambazo kwa sasa zinajikongoja. Hiyo yote ni kutokana na jinsi unavyoboreshwa na wasanii na namna unavyopokelewa kwenye…

Hawana Jipya Lakini Wanawika

TUMEKUWA tukiona wasanii wakiwa maarufu kwa kazi wanazofanya huku wengine wakiupata umaarufu huo kwa skendo au kutokana tu na muonekano na mavazi wanayotupia. Katika makala haya leo tunakuletea mastaa ambao ni habari ya…

Birdman: Sina Bifu na Lil Wayne

BAADA ya bosi wa Cash Money Bryan, Williums Birdman kusumbuana kwa muda mrefu na rapa Lil Wayne, bosi huyo amefunguka kuwa kwa sasa wako poa sana na wanazungumza vizuri. Wawili hao wametajwa kuwa katika bifu zito tangu mwaka…