Shule 38 Zafutiwa Matokeo Darasa la Saba, Yasome Hapa
BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia matokeo watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba mwaka huu.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi, Novemba 21,…
