Matokeo Darasa la Saba 2020 Yatangazwa, Tazama Matokeo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) leo Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020

Baraza la Mitihani nchini (Necta) limezifutia matokeo shule 38 za msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa mitihani ya taifa ya darasa la saba.

Kuangalia matokeo yote ya darasa la saba ingia hapaTecno


Toa comment