Vinara Matokeo Kidato cha Sita Baobab Wamkuna Mwalimu Wao
SHULE ya Sekondari Baobab ya Mapinga Bagamoyo imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote kwenda vyuo vikuu mbalimbali ndani na kufanikiwa kutoa wanafunzi wawili walioingia 10 bora kitaifa.
Pia wanafunzi wote 337…
