Wiki Moja Baada ya Kujiuzulu, Mkwasa Arejea Tena Ruvu Shooting
KLABU ya Ruvu Shooting imethibitisha kurejea kwa Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa aliyekua ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo tangu juma lililopita.
Mkwasa alitangaza kujizulu nafasi yake klabuni hapo siku moja baada ya…
