Kilima Chenye Maajabu Kiendacho kinyume na Sheria za Mvutano
KILIMA hiki cha mvutano ni kilima kinachofahamika kuwa cha ajabu, kwa kuwa kinatengeneza kiini macho kupelekea watu kuhisi kama vile gari iliyoachwa kwenye gia inaserereka kupanda mlima kwa kwenda juu wakati ni kitu ambacho sio sawa kwa…