Mishahara ya Makocha Bongo Gumzo
VITA kubwa ni kwenye kusaka pointi tatu ndani ya uwanja na zile tatu bora ni balaa kwa sasa ambapo Azam FC ni baba lao wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 21.
Mbali na vita ya pointi tatu, ishu ya mkwanja wanaovuta makocha…
