Muonekano wa Barabara ya Morrocco-Mwenge Dar
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa…