RC AYOUB AKABIDHI MWENGE WA UHURU KWA SERIKALI
Baada ya mwenge wa uhuru kuanzia mkoani Katavi, hatimaye leo Oktoba 14, umewasili na unatarajia kuzimwa katika uwanja wa Taifa wa Aman, kisiwani Zanzibar katika mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo mkuu wa mkoa huo, Ayoub Mohammed Mahmoud,…