The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

namungo

Refa Namungo vs Yanga Yamkuta

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imempeleka mwamuzi Abel William kwenye kamati ya waamuzi akajadiliwe katika kamati hiyo baada ya kuonekana alifanya makosa ya kutafsiri sheria 17 za soka…

Molinga Atamba Kuwamaliza Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, David Molinga ‘Falcao’ ametamba kuwa amejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara hususani atakapokutana na waajiri wake wa zamani klabu ya Yanga. Molinga alikamilisha usajili…

Namungo Inajifua Balaa Huko Karatu

KOCHA Mkuu wa Namungo FC, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefurahishwa na maendeleo ya kambi ya timu iyo ambayo wameweka huko Karatu mkoani Arusha wakijiandaa na msimu ujao. Namungo imeweka kambi ya siku 14 Karatu katika kituo cha michezo…

Bao la Morrison Lirudiwe

MASHABIKI wa Simba jana baada ya Bernard Morrison kufunga bao kali dhidi ya Namungo, walilipuka kwa sauti kubwa wakisema: “Bao la Morrison lirudiwe, hatujaliona vizuri. ”Morrison alifunga bao hilo dakika ya 87 kwa shuti la…

Namungo Wanogewa Kimataifa

TIMU ya Namungo imeondoka jana kuelekea jijini Dodoma kumenyana na JKT Tanzania katika mchezo wa michuano ya shirikisho huku wakiwa na malengo ya kuiwakilisha tena Tanzania kimataifa. Namungo kwa mara ya kwanza imefanikiwa…

Namungo Kuwavaa Pyramids Leo

Kocha wa klabu ya Namungo, Hemed Suleiman Morocco amesema maandalizi ya mchezo wao dhidi ya klabu ya Pyramids ya nchini Misri utakaochezwa leo saa 10:00 jioni Machi 17, 2021 kwenye dimba la mkapa, yamekamilika na watapambania ili kupata…

Namungo Yaivutia Kasi Pyramids

BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Raja Casablanca, Kocha Mkuu wa Namungo, Hemed Morocco, amefunguka kuwa kwa sasa wamejikita na maandalizi kuelekea mchezo ujao dhidi ya…

CAF Yaitengea Namungo Mil 635

KLABU ya Namungo, ipo kwenye hatua za kujihakikishia kupata dola 275,000 (zaidi ya Sh milioni 635) kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Hiyo ni baada ya kutinga hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho…

Kocha Kaze aihofia Namungo

CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa anatambua ubora wa wapinzani wake Namungo FC ambao atakutana nao, Novemba 22, Uwanja wa Mkapa jambo ambalo limemfanya atafute mbinu ya kupata matokeo kwenye mchezo huo. Yanga…

Kocha Mkuu Namungo Afutwa Kazi

IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery amefutwa kazi ndani ya Klabu ya Namungo FC inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi zake za nyumbani. Kocha huyo ambaye alikipandisha kikosi hicho Ligi Kuu Bara na msimu wake wa kwanza ndani ya ligi aliweza…

Namungo Kusajili Majembe Nane

BAADA ya kuwa na uhakika wa kuwakilisha nchi kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho, uongozi wa Namungo umesema kuwa utasajili wachezaji nane wa kazi. Tayari Namungo imeshapata saini ya kiungo Fredy Tangalo aliyesaini kandarasi ya…

Namungo Yampigia Hesabu Salamba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na Lipuli FC. Salamba amekuwa akitajwa kuwa ni mchezaji wa simba ambaye Kocha…