×

Tag: NEC

Breaking: Rais Samia Ateua Mwenyekiti Mpya wa NEC

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Jackob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya...

READ MORE

Kifo cha Ole Nasha, NEC Yatangaza Uchaguzi Ngorongoro

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), leo Jumatatu, Oktoba 18, 2021 imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo...

READ MORE

Nec Yatangaza Uchaguzi Mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwepo kwa nafasi mbili za Ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba...

READ MORE

Mapendekezo 7 Tume ya Uchaguzi – Video

WADAU wa Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza mambo saba kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Maagizo ya NEC kwa Vyama vya Siasa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa, wagombea na wadau wa uchaguzi kuepuka kujihusisha na matukio yenye...

READ MORE

Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Yaketi Dodoma Leo

  Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Aprili 29, 2021 wamefanya Kikao cha Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

NEC Yatangaza Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Nditiye

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma baada ya...

READ MORE

NEC Yafanya Uteuzi Diwani Viti Maalum



READ MORE

NEC: Majina ya Mdee, Wenzake Tuliletewa na Mnyika

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema ilifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo...

READ MORE

NEC Yatangaza Uchaguzi Mwingine Desemba 8, 2020

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeitisha uchaguzi mdogo katika kata tatu, Nyahanga, Igumbilo na Kibosho Kati, zilizoshindwa kufanya uchaguzi...

READ MORE

Fahamu Sifa za Chama Kupata Wabunge Viti Maalum

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa tayari imeshatoa fomu kwa vyama vya siasa ili kupendekeza majina ya wabunge watakaopata...

READ MORE

NEC Yatoa Sifa Za Vyama Kupata Wabunge Viti Maalum

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa tayari imeshatoa fomu kwa vyama vya siasa ili kupendekeza majina ya wabunge watakaopata...

READ MORE

Watanzania Milioni 14.8 Hawajapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo ya urais yaliyotangazwa usiku Ijumaa Oktoba 30, 2020 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yanaonyesha kuwa Watanzania milioni...

READ MORE

Breaking: Magufuli Ashinda Urais, Kura Mil. 12.5 – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dkt. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti...

READ MORE

Live Updates: Matokeo ya Urais Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020....

READ MORE

NEC Yakanusha Kura Feki Kukamatwa Kawe, Pangani na Kigoma _ Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha uzushi unaoenea mitandaoni ukisambazwa na baadhi ya watu wakidai uwepo wa kura feki...

READ MORE

NEC Kuanza Kupokea Matokeo ya Urais Leo Usiku

MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020, tume...

READ MORE

NEC Yakanusha Madai ya Vituo na Wapigakura Hewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka ushahidi na...

READ MORE

NEC Yaruhusu Vitambulisho Mbadala kwa Wapiga Kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 12 Oktoba, 2020 imefanya maamuzi ya kisera ya kuruhusu vitambulisho...

READ MORE

Mbatia Apigwa ‘Stop’ Kufanya Kampeni

KAMATI za maadili zimeendelea kuwa mwiba kwa wagombea na safari hii mgombea ubunge wa Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, James...

READ MORE

NEC Yakabidhi Majina ya Wapiga Kura, Karatasi ya Kupigia Kura – Video

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, nakala...

READ MORE

NEC Yakabidhi Nakala Ya Daftari La Wapiga Kura Kwa Vyama Vya Siasa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Oktoba 15, 2020 imekabidhi vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nakala tepe ya daftari...

READ MORE

NEC Yatangaza Kampuni Inayochapicha Karatasi za Kupigia Kura 2020

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa...

READ MORE

Kamati Maadili NEC Yadai Lissu Mwongo – Video

  KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa taarifa ya malalamiko ya Tume...

READ MORE

NEC Yamfungia Lissu Kufanya Kampeni kwa Siku 7

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Lissu Akana Kupokea Wito NEC

MGOMBEA urais kupitia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema kuwa hajapokea malalamiko yoyote kutoka Tume ya Taifa...

READ MORE

Tundu Lissu Aitwa NEC Kujieleza

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya...

READ MORE

Alichokisema Mkurugenzi wa NEC kwa Wanahabari

Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...

READ MORE

NEC: Rufaa Za Wagombea Ubunge Na Udiwani Leo

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...

READ MORE

Mgombea Ubunge Mmoja Na Madiwani 34 Wapitishwa Kugombea Na NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika kikao chake cha Septemba 10, 2020 imepitia, kuchambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za...

READ MORE

NEC Yatoa Uamuzi Wa Rufaa 60 Za Wagombea Ubunge Na Udiwani -Video

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa...

READ MORE

Wagombea 13 Washinda Rufaa za Ubunge, 21 Watoswa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea...

READ MORE

NEC: Majina ya Wagombea Waliorejeshwa, Waliokatwa!

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika ...

READ MORE

Ratiba Kampeni Wagombea Urais, Makamu Hii Hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini  (NEC) leo Septemba 1, 2020 imetoa ratiba ya kampeni za wagombea wa urais na...

READ MORE

NEC Yafafanua Waliokatwa, ‘Waliopita Bila Kupingwa’ – Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Agosti 26, 2020,  imezungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uchaguzi, ambapo kubwa...

READ MORE

Cecilia Mwanga Kugombea Urais Dem. Makini – Video

MWENYEKITI  wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Membe Arejesha Fomu ya Urais, NEC Yamteua – Video

TUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar...

READ MORE

NEC Yatoa Siku 2 Waliochukua Fomu Bila Kutambulishwa na Vyama

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo...

READ MORE