VIDEO MPYA:Nicki Minaj Anaifungua Weekend Yako na ‘Hard White’
Rapa wa kike Nicki Minaj toka lebo ya Young Money ameileta video mpya ya Hard White.
Wimbo wa Hard White unapatikana kwenye album yake ya Queen iliyotoka mwaka 2018.
Video imeongozwa na Mike Ho.…
