The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Papi Tshishimbi

Tshishimbi Azua Jambo Yanga

NAHODHA na kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, huenda akakutana na msala kutoka kwa kocha mpya wa timu hiyo, Luc Eymael baada ya kupitiliza siku alizoomba za ruhusa katika timu hiyo. Tshishimbi hajafanya…

Tshishimbi Azua Lingine Yanga SC

BAADA ya kimya kirefu hatimaye kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi amerejea klabuni huku chanzo cha kuchelewa kikiwekwa wazi. Tshishimbi raia wa DR Congo aliondoka Yanga mwishoni mwa mwaka jana na kurejea kwao ambapo alikuwa na…

Tshishimbi Ahenyeshwa Juani

KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa na fiziki ya kutosha, kocha Mkuu wa Yanga Mzambia, George Lwandamina, jana aliwakimbiza wachezaji wake nyota kwa dakika 90 uwanjani. Wakati Lwandamina akifanya hivyo alitumia muda…