×

Tag: POLISI

Kijana Auawa Bar Kisa Mwanamke

Jeshi la Polisi mkoa wa mwanza linawashikilia watu watano kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo mauaji.   Tukio...

READ MORE

Majaliwa Akabidhi Magari ya Polisi Lindi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari...

READ MORE

Apigwa Risasi ya Mguu Akidhaniwa Nyani

  TATU Bakari Hassan, mkulima mwenye miaka 55 mkoani Pwani, amejeruhiwa mguu wake wa kulia kwa kupigwa risasi akiwa shambani...

READ MORE

60 Waishia Mikononi Mwa Polisi Kilimanjaro

Watu 60 wakazi wa wilaya ya Rombo wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanajaro kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe...

READ MORE

Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma

POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja...

READ MORE

Mama Mbaroni Akidaiwa Kumuua Mtoto wa Mumewe – Video

  POLISI Wilaya ya Kinondoni inamshikilia, Pendo Carlos, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa mumewe na kujaribu kuwaua watoto wengine...

READ MORE

Polisi Kibaha Akutwa Amefariki kwa Kujinyonga

POLISI  aliyekuwa anafanya kazi katika kituo cha Polisi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani, namba E 6472 Yusuph Said, mwenye umri...

READ MORE

Simbachawene: Nitawafagia Askari Hawa!

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...

READ MORE

Simbachawene Ampa Sirro Siku 7 Kushughulikia Bajeti ya Mbwa – Video

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa siku saba Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, (IGP)...

READ MORE

Polisi Yatoa Onyo Watakaochoma Matairi Mwaka Mpya

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku uchomaji wa matairi ambayo yamekuwa yakiharibu miundombinu mingi kama vile barabara ambazo zimejengwa kwa...

READ MORE

Askari Aliyeokoa Mtoto Hakuwa Eneo Lake la Kazi

ASKARI wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Denis Minja, ambaye mwezi Mei alimwokoa mtoto mchanga akiwa hai ndani ya...

READ MORE

Watuhumiwa 683 Tabora Wakutwa na Silaha, Pembe za Ndovu, Sare za Jeshi

JESHI la Polisi limefanikiwa kuwakamata jumla ya watuhumiwa 683 wa makosa mbalimbali mkoani Tabora katika oparesheni iliyochukua wiki tatu katika...

READ MORE

Polisi: Wapo WaTZ Wahusika Mashambulizi Mpakani na Msumbiji

POLISI nchini imesema kwamba kuna raia wa Tanzania wanaohusika na mashambulizi yanayofanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.   Kamishna wa...

READ MORE

Polisi: Mauaji Mengi 2020 Ni ya Wivu wa Mapenzi

  POLISI nchini  imesema kuwa kwa kiasi kikubwa mauaji ya watu yaliyotokea nchini kwa mwaka 2020 yalisababishwa na wivu wa...

READ MORE

Polisi 9 Jela kwa Mauaji

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo cha miaka mitatu maafisa tisa wa polisi kwa kosa la kumtesa na kupelekea kifo...

READ MORE

Kikongwe Adaiwa Kuuawa na Ndugu Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Celestina...

READ MORE

Polisi Tz, Msumbiji Kufanya Oparesheni Pamoja

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Msumbiji, Bernadino Rafael, wamekubaliana...

READ MORE

Mwili wa Askari Aliyedaiwa Kuuawa Pemba Wapatikana

POLISI Mkoa wa Kusini Pemba imefanikiwa kuupata mwili wa aliyekuwa askari wa kikosi cha KVZ, Khalfan Junedi, aliyedaiwa kuuawa wiki...

READ MORE

Watoto 11 Watuhumiwa Kuiba Nyumbani kwa Askari

POLISI mkoa wa Tabora inawashikilia watoto 11, ambao ni wanafunzi wa shule za msingi kwa tuhuma mbalimbali za uvunjaji, uporaji...

READ MORE

Tundu Lissu Akamatwa na Polisi, Aachiwa

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...

READ MORE

Polisi Yatoa Onyo Wanaotaka Kuandamana

KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama...

READ MORE

Mtuhumiwa Uvamizi Studio za S2Kizzy Akamatwa – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam wanamshikilia Mtu mmoja kati ya 17 waliovamia Studio ya @s2kizzy kwa kujifanya Polisi jamii...

READ MORE

Polisi: Tutakesha na Msafara wa Lissu

Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA), Tundu Lissu kwani...

READ MORE

Polisi Yasitisha Wito kwa Lissu Yasema Aendelee na Kampeni

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Ijumaa Oktoba 2, 2020, imesitisha wito wa kumtaka mgombea urais wa Jamhuri...

READ MORE

Polisi Wapigwa Risasi Kwenye Maandamano

MAOFISA wawili wa polisi wamepigwa risasi huku maelfu ya watu wakiandamana katika mji wa Louisville nchini Marekani baada ya jopo...

READ MORE

Polisi Manyara Yakamata Bangi na Mitambo ya Gongo.

Polisi mkoani Manyara wameripoti kuwatia mikononi watuhumiwa 6 wa madawa ya kulevya aina ya Bangi misokoto 36 na wengine 11...

READ MORE

Wezi Wavunja Mahakama, Waiba Sukari…

POLISI mkoani Njombe imewakamata watu  wawili kwa tuhuma za kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na  kuiba vitu mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Simbachawene: Polisi Wajipange Vyema Uchaguzi Mkuu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene,  amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote au uvunjifu wa sheria...

READ MORE

Polisi Akutwa Kwenye Mtaro Akiwa Amefariki Dunia

POLISI katika kituo kidogo cha KIA Hai, Kilimanjaro, Sajent Juma Ango, anadaiwa kuuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM: Tutatumia Dola Kubaki Madarakani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amekiri chama chake kuitumia dola kuhakikisha kinabaki madarakani.   Amesema...

READ MORE

Lema Akamatwa, Apelekwa Singida Usiku – Video

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbless Lema amekamatwa na polisi mkoani Arusha na...

READ MORE

Lema Asakwa na Polisi Arusha

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema amepata taarifa za kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi Arusha.   Kupitia ukurasa...

READ MORE

Simbachawene: Polisi Ihoji, Iwatambue Waliombambikiziwa Kesi

WAZIRI  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewataka watendaji akuu wa Jeshi la Polisi wawahoji watuhumiwa waliopo katika...

READ MORE

Muuguzi Mbaroni kwa Kumtoa Mimba Mwanafunzi, Kumsababishia Kifo

MUUGUZI aliyetumbuliwa wakati wa kuondoa watumishi hewa mkoani Kagera, Dezber Solomon (49) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...

READ MORE

Askari Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa

MAMIA ya wananchi wamejitokeza jana, Jumanne, Fenruari 4, 2020, katika viwanja vya jeshi la polisi mkoani Njombe kuaga miili ya...

READ MORE

Wanusurika Baada ya Kupigwa Risasi na Polisi Geita

WATU wanne wakazi wa Kitongoji cha Kamlale Kijiji cha Kibwela Kata ya Nyawilimilwa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, wamelazwa katika...

READ MORE

Arusha: Polisi Yaua ‘Majambazi’ Watano – Video

POLISI mkoani Arusha imewaua watuhumiwa wa ujambazi sugu watano usiku wa saa 3:45, Januari 29, 2020, eneo la njia panda...

READ MORE

Mchungaji Kortini kwa Kumchoma Moto Mwanaye

MCHUNGAJI Japhes Manwa wa Kanisa la Pentekoste Wilayani Kibaha, anatuhumiwa kumchoma moto mikononi na mgongoni mwanaye wa miaka saba ambaye...

READ MORE

Polisi Wahofia Waume Zao Kuchepuka na Machangudoa – “Hawatasalimika”

Polisi wanawake mkoa wa Mwanza wamedhamiria kukomesha na kutokomeza vitendo vya ukatili pamoja na wanawake wanofanya biashara haramu ya ngono...

READ MORE